Professor Muhongo aionya serikali

bne

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,657
1,992
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
 
4b29d3fa97f4df5e6e334d74dfa6a3aa.jpg
 
Huyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
 
Wewe jamaa ukijitafuta sana inawezekana DNA ilianzia kule kwa washona na Wandebele. Maana hao jamaa walimuaminisha hivyohivyo comrade Robert, ila leo hii imebaki history.

Robert aliwatimua
sisi hatutimui mtu
tunadai haki
tunakataa kuibiwa wao waendelee kuwapo lakini sio kwa kutuibia
 
Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter , aliyekuwa waziri wa nishati na madini professor Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake
" watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja nahayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Wakati wanakula kipande cha mkate wanashinda wanamsifia Magu. Lakini wakitolewa ndo wanapanua vinywa vyao. Yupo mmoja wao naye ni Prof.
 
Attachments

  • IMG-20170526-WA0046.jpg
    IMG-20170526-WA0046.jpg
    55.9 KB · Views: 56
je alitoa ushauri sahihi kwa wakati sahihi??

maana isijekuwa anakaa kimya tu halafu anakuja andika twitter
 
huyo hata wakati ule wa kashfa wa ESCROW aliwatishia nyau wabunge kuwa akizungumza yote anayoyajua nchi itatikisika.
tunashangaa ametikisika yeye.hayo maonyo yake aliyo-tweet ilitakiwa ayafikishe kwa rais yafanyiwe kazi kuliko kujifaragua kwenye mitandao.
come on man,don't be so cheap!
 
Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter , aliyekuwa waziri wa nishati na madini professor Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake
" watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja nahayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Muhongo at it again, he speaks so highly of wawekezaji. Rejea, "watanzania uwezo wao ni wakuwekeza kwenye viwanda vya juisi"
What a waste....!
 
Back
Top Bottom