Professor Muhongo aionya serikali

Professor Muhongo aionya serikali

Huyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
Thubo wewe unaamini Muhongo kasema hayo kwa kiingereza kibovu hicho
 
4b29d3fa97f4df5e6e334d74dfa6a3aa.jpg
Bora tu Professor ungebaki Chuo Kikuu kutoa Elimu kuliko kujihusisha na siasa. Ona unavyoumizwa kila mara na siasa uliyochagua! Mimi ninakukubali sana hasa kwenye REA. Siasa haina shukrani utachafuka tuu!
 
Thubo wewe unaamini Muhongo kasema hayo kwa kiingereza kibovu hicho
Unajua katika kujibu kuna mawili,kwanza kujibu ulichokiona,pili kujibu ulichokiangalia,, kuamini au kutoamini ni matter ya chance and choice tu
 
.....shida ya siasa ukiwa ndani unaona inanoga sana lkn ukitolewa unaona waloko ndani wanakosea sn.Angeyasema hayo akiwa ndani sio kwa nje
 
yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Anachonikera huyu jamaa ni kila pale anaponasihiwa juu ya kiburi chake hujitetea kwa kuringishia elimu yake utadhani amesomea mbinguni..
 
Unnecessary overreaction! No need. Yes, Tanzania lives and sails in one global ocean with other nations harmoniously and in partnership where, however, rules of the game are well known and adhered to by all players. But again, I whish Prof. Muhongo had reckoned this, that apparently, the prevailing political, social and economic environment sternly obliges all nations and people to live and sail ethically; complying with existing and new high morals and integrity standards and conventions. No multinational/transnational company is allowed whatsoever to trample on or temper with other actors' exclusive rights, rob or cheat when running investment operations in host countries. Unfortunately, Prof. Muhongo has spelt it wrongly yet at his nascent age and/or maiden entry into politics.
 
Sina uhakika kama kweli Muhongo kaandika hivyo.

Ila Kama kweli ni yeye,
Baasiiii, Tanzania tunahitaji kuondolewa kwenye nchi zenye wasomi, watu makini na wanaojiita wazalendo.

Eeeeh, Hayati Mwl Nyerere , njoo utuokoe na janga hili la watu uliosomesha kwa kodi zetu bila kulipia hata senti moja ila leo ndiyo wanaotuuza kwa makaburu na wazungu koko!!

Haya maandishi ya Muhongo, muongo mhogo, nayaona ni sawa kabisa na yule katibu mkuu wake ambaye rais alisema alitoa "a stupid answer "

Kumbe, rais Dr. Magufuli, ameona mbali hii wizara ingefutwa yote yaani waajiriwe watu wapya kuanzia mfangiaji hadi waziri.
Naona waliopo wote ukiwauliza swali majibu lazima yawe "a stupid answer""

Frankly speaking, if this's Muhongo, he has written a stupid arguments ever given by a Professor since the existing of the World !

He wrote, a text as a kindergarten child"
He doesn't deserve to be a professor any more, if this's how a professor can argue!!
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Ngoja Dr Mengi asikie huo upuuzi wako. Umekuwa ukitetea wanyonyaji wa kizungu toka mwanzo
 
Kumbe bado yapo mabandubandu yatamaliza magogo yote ya asali
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yataYbkayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Wawekezaji ni matapeli na wezi .Ni kama majizi mengine tu, may be I can call them "white collar thieves."Kwa sababu hiyo, mimi sipendi kabisa neno "muwekezaji." Linaficha ukweli wa hawa watu.

Na sishangai Muhongo kufumbia macho au kushirikiana na the so called "wawekezaji" katika wizi huu.In fact it seems ni mtu wao,maana they have very close ties by his own words. This guy is indoctrinated to the bones. Nashangaa msomi huyu ni msomi wa namna gani. Badala ya kutetea rasilimali zetu ana side na matapeli haya.Ajabu sana,eti tujiandae kwa matatizo makubwa na kunywa shubiri.So,tuache watuibie kwa sababu ya kuogopa shubiri,funny and stupid.

Halafu system yetu iko heavily infiltrated na "stooges" wanaotumiwa na "The Elite" kutuhujumu na kutuibia. Sina hakika Muhongo yuko upande gani,but his affiliation is very questionable.

Watu hawa wanaweza kuwa wasomi wakubwa kama akina Muhongo.They have got no mark. Ni lazima tuwa identify na kuwa uproot,otherwise watatutesa sana.Rais alichofanya ni sahihi kabisa.Good luck JPM, tuko pamoja Rais wetu.Tunaweza tukapata shida lakini tutafika.Hakuna kukata tamaa.
 
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.

Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.

" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"

Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Kayasema wapi haya au ndo mnatengeneza yenu
 
Rais Dr. Magufuli, utakumbukwa kwa mengi mazuri sana unayoyatenda kwa nchi yetu Tanzania.

Kwanza, ni kuwapa nafasi wasomi yaani wahadhiri nafasi ila Wengi wao wameonesha usomi wa makaratasi na siyo utendaji.

Pili, rais umekuwa na uzalendo wa dhati kwa nchi hii na watu wake.

Ombi na pendekezo langu, awamu ya pili ya uongozi wako hapo 2020, napendekeza tuondolee wahadhiri wote kwenye Baraza lako la mawaziri, na kwenye wizara zote maana wameonesha udhaifu mkubwa sana.

Maana hii awamu ya tano, imewavua nguo wasomi Wengi sana hasa wahadhiri wenye elimu ya ngazi ya uzamivu /PhD na maprofessa kwa utendaji uchwara na ubabaishaji mwingi.

Wahadhiri waendelee kufundisha vyuoni ila watumike Kama washauri na watafiti wa mambo mbalimbali.

Vinginevyo, wawe wanafanyiwa usahili kabla ya kupewa nafasi hizo ili kujihakikishia kuwa wanauwezo wa Kiutendaji.

Maana, sisi tusiofanya kazi kwenye tasinia ya vyuoni tunashangaa maajabu na madudu ya hao wasomi mfano wa akina Muhongo.

Kila la kheri JPM, together we shall win the battle!!
 
Huyu si ndie alimtonya yule mkuu wa kitengo cha mizani kule bandarini kuwa wakubwa wanakuja kwa hiyo arekebishe mambo,haiwezekani kila mara awe yeye tu.Muhongo ni muongo kweli ,alipoteuliwa kwa mara ya pili kwenda wizara ileile wengi walipinga ,na sasa matokeo yake sote tumeyaona,kumbadili tabia mtu mzima ni sawa na kumtaka kumkunja kambale mkavu
 
Bs
Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?

Bashite saa hii ametulia, anachungulia kwa mbali na kuna vitu haviamini km vinatokea! Ikiwa professor anatumbuliwa na utendaji wake, vp Bashite anawazaje?
 
Rais Dr. Magufuli, utakumbukwa kwa mengi mazuri sana unayoyatenda kwa nchi yetu Tanzania.

Kwanza, ni kuwapa nafasi wasomi yaani wahadhiri nafasi ila Wengi wao wameonesha usomi wa makaratasi na siyo utendaji.

Pili, rais umekuwa na uzalendo wa dhati kwa nchi hii na watu wake.

Ombi na pendekezo langu, awamu ya pili ya uongozi wako hapo 2020, napendekeza tuondolee wahadhiri wote kwenye Baraza lako la mawaziri, na kwenye wizara zote maana wameonesha udhaifu mkubwa sana.

Maana hii awamu ya tano, imewavua nguo wasomi Wengi sana hasa wahadhiri wenye elimu ya ngazi ya uzamivu /PhD na maprofessa kwa utendaji uchwara na ubabaishaji mwingi.

Wahadhiri waendelee kufundisha vyuoni ila watumike Kama washauri na watafiti wa mambo mbalimbali.

Vinginevyo, wawe wanafanyiwa usahili kabla ya kupewa nafasi hizo ili kujihakikishia kuwa wanauwezo wa Kiutendaji.

Maana, sisi tusiofanya kazi kwenye tasinia ya vyuoni tunashangaa maajabu na madudu ya hao wasomi mfano wa akina Muhongo.

Kila la kheri JPM, together we shall win the battle!!
Ni kweli wahadhiri wamejifedhehesha sana na usomi wao ,wamepewa nafasi na mh raisi na wameshindwa kuitumia inaonekana usomi wao na vitendo vyao ni kitu tofauti,sana sana wanawaza kamhogo kao.Kuongoza ni kitu tofauti na usomi hasa huu usomi wa kinadharia,naamini mh raisi sasa itabidi abadili mtazamo wa kuwaona wasomi kama peke yao ndio wanaweza kuongoza
 
Back
Top Bottom