Wapiga kura wake walimchagua kwa kulazimishwaAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
hana jipyaaAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
shubiri tumevumilia miaka 17 itakuwa muda huu...huo ni mwendelezo tu..atuache bwanahKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Wewe leo hata akiwacha kazi magu utamlaumu maana wewe ni debe tupu la lumumbaKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Mwekezaji ni Mungu????? Nenda Kwa Amani MUHONGOAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hao watu tunaodeal nao wamewahi kumuua rais wa marekani. Kisha mwili wake ukiwa chini ya ulinzi mkali wakauiba na kuufanyia operation kuondoa ushahidi halafu wakaurudisha na hakuna aliyekamatwa hata mmoja .Usiwe mwoga
wanasemaga tu...hawanaga ujanja wa kusema ukweli...kuna maisha baada ya kuwa mkweli...nani anayataka hayo maishahuyo hata wakati ule wa kashfa wa ESCROW aliwatishia nyau wabunge kuwa akizungumza yote anayoyajua nchi itatikisika.
tunashangaa ametikisika yeye.hayo maonyo yake aliyo-tweet ilitakiwa ayafikishe kwa rais yafanyiwe kazi kuliko kujifaragua kwenye mitandao.
come on man,don't be so cheap!
Asante Prof kwa utumishi wako... Enenda zako kwa amani ya Bwana. Bwana atatuinulia Haron wa kuchukua kijiti cha Musa na kuindeleza safari... Sasa kapumzike ule mafao yako kwa utulivu...
saf sanah ..ndgu yangu wewe...alafu kuna uwezekano tulizaliwa muda mmoja wanguMwekezaji ni Mungu????? Nenda Kwa Amani MUHONGO
Ulitegemea aseme nini sasa?yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Kama umeumia sana saga chupa unyweya kijijini kwenu
Huyo kwao ni kwa kagameWewe jamaa ukijitafuta sana inawezekana DNA ilianzia kule kwa washona na Wandebele. Maana hao jamaa walimuaminisha hivyohivyo comrade Robert, ila leo hii imebaki history.
Huyo hapo kwao baada ya kutimuliwaHizi taarifa zenu za uongo kuna siku zitawatokea puani. Sijui mnafanya kazi hiyo kwa manufaa ya nani.
Unaongea maneno kibao bila hata kuweka hiyo source. Vilevile sijawahi kumuona Muhongo kwenye twitter.
Sasa wataamini
sijaelewa nifafanulie mimi sio mtu wa mipasho ni mwanaume wa kaziKama umeumia sana saga chupa unywe
Sio mtz huyu!mnahitaji kupimwa siyo bure ninyi watu