Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,458
- 8,796
Kitisho kipo wapi hapo?Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Kitisho kipo wapi hapo?Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Jiandae kuwa kama Zimbabwe chezea mzungu wewe,yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Utateteaje nchi iliyo chini ya mikataba mibovu?Huyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
Siamini kuwa English hii imeandikwa na Prof Muhongo. He is a lot better than this scum! Nadhani imeghushiwa hii. Haijatoka kwa Prof.
Kama ulijua Watanzania wanafanya MAKOSA mbona HUKUTOA SULUHISHO ukiwa bado ungali WAZIRI?Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Chama hakiruhusu kuhoji au kupinga chochote kitokacho kwa mwenyekiti..Wakati wanakula kipande cha mkate wanashinda wanamsifia Magu. Lakini wakitolewa ndo wanapanua vinywa vyao. Yupo mmoja wao naye ni Prof.
hapo umeuliza nini sasa!!!? au umeona kutetea tu,hukuona kusaidia kurekebisha inapokosea serikali!!!? sawa, kwa maana yako hatuwezi kuisaidia serikali sisi na mawaziri kwa msaada wa nchi yako nakuomba upendekeze jinsi ya kuibadili mikataba bila binadamu kuhusikaUtateteaje nchi iliyo chini ya mikataba mibovu?
Huyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
Kwa kweli, jitu zima ovyo kabisa! Jambazi la nchi kavu! Ale hizo pesa vizuri na family yake! Afanalek walahi!Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
ya kijijini kwenuSOURCE: R F A
Hahahaaa shubiriKwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu