d
prof watu hawakatai kujadili hoja kinachowaboa wewe kila article yako ni kumzungumzia zitto huna mradi mwingine wa kuzungumzia ili jamii ifaidike na uprof wako .bora jk juzi alituelimisha juu ya tezi dume mimi binafsi nilikuwa sihujui wewe kila kukicha ni zitto,zitto zitoooo jaribu kubadili mada kidogo ili tuchangie kwa manufaa ya wana jf.other wise ni sawa na mme kumsifia mke wake kila siku
Well, tunajadili hewa. Kama ulitaka kujadili mada yangu kwa nini usiweke hapa makala husika ili watu wasome? Na kwa nini tunadhani kwamba wote tunatakiwa tuwe na mawazo yanayofanana? Udhaifu moja tulionao ni kushindwa kukabili hoja kinzani kwa hoja badala yake tunapambanisha hoja na kejeli, matusi, n.k. Kosa la makala imekuwa kuwasifia Zitto na Kafulila kwamba walifanya kazi nzuri ya uongozi??!!
Mada yenyewe ni hii hapa kutoka gazeti la mwananchi.
Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge - Kitaifa - mwananchi.co.tz