Professor Mkumbo na siasa za hovyo

Professor Mkumbo na siasa za hovyo

Nilishawahi kusema na nnarudia kusema,Tanzania kuna ma Proff wawili tu,Proff Mathayo Luhanga na Proff Mark Mwandosya,hao wengine Ma Proff wa Ngoma kama Ndugu yetu Kitila Mkumbo ama wale wa Maua na Bustani,Proff Magembe na Proff Kapuya ni bure kabisa...

Mkuu naona wewe unazungumzia maprofesa walio kwenye siasa. Otherwise nje ya siasa kuna maprofesa wengi wazuri. Tatizo linakuja wanapoingia kwenye siasa wanajikuta wakiuweka usomi pembeni ili kuwafurahisha wakubwa ili na wao wapate mlo.
 
Msameheni bure prof mkumbo amepigwa changa la moto na wajanja akina zitto na mwigamba msomi amepigwa changa anahaha jimbo amelikosa amebakia kisifia tu
 
Tanzania ilipata kuwa na Professor mmoja tuu wa ukweli,nae si Mwingine bali ni Professor Philemoni Sarungi pekee hao wengine sijui Muhongo,Kapuya,Maghembe,Tibaijuka,Mkumbo ni uchwara a.k.a wachumia tumbo wapo kundi moja na Professor Maji Marefu.

Tanzania ina Ma Proff wawili tu.
Proff Mathayo Lihanga na Proff Mark Mwandosya
 
Maada za kipuuzi hizi. Badala ya kujadili anachoandika unamjadili mtu. Mleta mada unabahati ya kujibiwa na mhusika ila ingekuwa mimi nisingekujibu manake umeandika hisia kama mvuta bang.
 
Well, tunajadili hewa. Kama ulitaka kujadili mada yangu kwa nini usiweke hapa makala husika ili watu wasome? Na kwa nini tunadhani kwamba wote tunatakiwa tuwe na mawazo yanayofanana? Udhaifu moja tulionao ni kushindwa kukabili hoja kinzani kwa hoja badala yake tunapambanisha hoja na kejeli, matusi, n.k. Kosa la makala imekuwa kuwasifia Zitto na Kafulila kwamba walifanya kazi nzuri ya uongozi??!!

Mada yenyewe ni hii hapa kutoka gazeti la mwananchi.

Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Binafsi mimi ni mpenzi na msomaji wa makala zako tangu zamani, hata pale ilipotokea upo fired CHADEMA spirit ya kusoma makala zako haikukoma sababu nina kiu ya kujifunza mengi hasa katika uringo wa siasa, so kuhusu nguvu za hoja zilizomo kwenye makala zako sizitilii shaka hata nukta.

Back to topic, Ni vyema sasa ukajitahidi kumuelewa mleta mada hasa katika maswali juu ya hatima yako kisiasa sababu kitendo cha wewe kufukuzwa kila chama unachoenda kinatia shaka sana kama kweli we upo sahihi katika nyendo zako kisiasa? Yani kwanini kila chama unachohamia wanakutimua? Au wewe ndo mwenye tatizo au kote huko hakuna the so called democratos?

Pia mleta mada kahoji kitendo cha wewe kukubaliana na takwimu za TWAWEZA na kuwapinga wale walioipinga huku ukisema takwimu hupingwa kwa takwimu, je mbona mwaka 2010 wewe pamoja na baadhi ya think tank wa CHADEMA mlipinga vikali takwimu za redit hata kabla hamjatoa takwimu? Lakini badae ndio mkatoa takwimu zenu, Je kipindi hicho wewe na wenzako mnapinga takwimu za redit hamkufahamu kuwa takwimu hupingwa kwa takwimu? Au Ndio kusema leo umegundua takwimu hupingwa kwa takwimu?
 
Hahahahha!!!! Mnataka kumpima uprof wake kwa lipi?

Kama ni uwezo wake hata makala zake utajua kama ana uwezo ama lah!!!!!
Haja maanisha kuwa paper alizo andika akiwa anautafuta uprof wake .
Kumbuka kitila mkumbo ni mzuti sana kwenye uandishi wa sera hat za kafu zilikuwa ni yeye 95 na za chadema alikuwa pia ni yeye.

Mleta mada atuambie prof huyo kafanya nini direct na sio kuja kjmlaumu direct na watu kubase hukohuko... hiyo ni taaluma na anacho kisema na kuandika can be judged
 
rosemarie

Nilishawahi kusema na nnarudia kusema,Tanzania kuna ma Proff wawili tu,Proff Mathayo Luhanga na Proff Mark Mwandosya,hao wengine Ma Proff wa Ngoma kama Ndugu yetu Kitila Mkumbo ama wale wa Maua na Bustani,Proff Magembe na Proff Kapuya ni bure kabisa...
Imagine, Proff anakaa na ku side na watu dizaini ya Nyakarungu na wakaelewana Kabisaa unategemea nini jamani


Elimu yetu ni ya kukariri hakuna jipya toka kwetu...

Kama elimu ingetusaidia tusingekubali kutumiwa Kama kondomu tena na wapuuzi...
 
Last edited by a moderator:
Ha! Ha! Haaaaa!!! Ukisikia mtu anapewa za uso ndio kama hivi .
 
rosemarie

Nilishawahi kusema na nnarudia kusema,Tanzania kuna ma Proff wawili tu,Proff Mathayo Luhanga na Proff Mark Mwandosya,hao wengine Ma Proff wa Ngoma kama Ndugu yetu Kitila Mkumbo ama wale wa Maua na Bustani,Proff Magembe na Proff Kapuya ni bure kabisa...
Imagine, Proff anakaa na ku side na watu dizaini ya Nyakarungu na wakaelewana Kabisaa unategemea nini jamani

Nasikia na Benson Bana naye ni Prof. siku hizi. Nchi yangu Tz haiishi maajabu.
 
Last edited by a moderator:
Article imejaa mambo kibao na Zitto ametajwa kama sehemu ya mfano wa viongozi wa kizazi kipya cha siasa. Niambie katika sakata hili la escrow unawezaje kuandika bila kumhusisha Zitto na Kafulila? Mimi nimeandika makala nyingi, ni makala gani nyingine ambayo nimemjadili Zitto ukiacha makala zangu za urais ambapo yeye ni mtu wa tano kati ya wale ambao nimeshawajadili?

chadema ulitaka fanya mapinduzi yatakayomnufaisha Zitto, ACT umeendelea kumjenga mtu badala ya taasisi!!

ajabu.ajabu kweli prof. jibu kwa I.D moja tuu
 
Ukifikia sehemu watu wakaanza kuhoji kiwango cha elimu yko,inabdi kujitafakali upya..hakuna atakaye ibadilisha taswira ya nchi yetu,isipokua wasomi tu..swali la kujiuliza ni je.?tunawasomi hapa nchni.?.na kma wapo ndo hawa wa design ya mkumbo na kapuya.?mi nadhani tafsiri ya neno"wasomi"inatakiwa tuitafakari upya..t is debatable..tukiendelea kua na waaomi wa aina hii tunaendelea kuiua elimu yetu...!!ecademicians,on tanzanian defination are killing our nation,most of them are hopeless...!!
 
Profesa Mkumbo, kwenye hiyo mada umesema;
"Kwa muda mrefu kabisa suala la escrow lilibaki kuwa jambo binafsi la Kafulila na mbunge mwenzake Zitto Kabwe hadi siku za hivi karibuni na hasa baada ya kuwasilishwa kwa taarifa ya PAC bungeni."
Hapo hukusema kweli, kwani Kafulila aliungwa mkono na John Mnyika na Ole Sendeka tangu mwanzo wa hoja mpaka mwisho. Zito alikuja kuingia kama mwenyekiti wa PAC. Mnyika na Sendeka walipeleka vielelezo bungeni vya jinsi pesa ilivyochotwa. Muhongo aliwakejeli kwamba zile zilikuwa karatasi za kufungia maandazi tu na kwamba yeye Muhongo angeleta ushahidi wa makaratasi ya ujazo wa Pick up!


Ujazo Wa pickup ndo zile karatasi mbili?? ha ha ha halafu utasema elimu yake inathamani gani??

Tatizo kubwa la elimu ya waafrika IPO kwenye makaratasi tu si ktk real life.....

Professor mzima ameshindwa jenga hoja kwa SAA 2 nzima ameaibishwa mpaka na akina Mbowe ambao presentation skills pengine ni ngeni kwao....

prof aliyefundisha miaka nenda rudi mwenye CV za kujaza Nyumba ameishia kuharisha tu bungeni...

Seriously tuna shida Sana.
 
Ukisoma falsafa ya elimu ya Tanzania ipo wazi sana. "Education should be for liberation". Tunahitaji usomi umkomboe mtu kifikra. Hivyo basi tunategenea profesa awe ni mtu mwenye fikra kuntu na mujarabu. Taifa linaumwa hili.
 
Yote tisa kumi siasa inawatu wake kiukweli. Siasa ni kama hesabu,hujui hujui tuu. Nahisi Profesa atakuwa ni mzuri sana kwenye chaki. Ipo hivyo mimi naupenda sana mchezo wa mpira,ila sijawahi umudu mpaka kesho.
 
Jamaa ni msomi mzuri ila anatumika. A.k.a mchumia tumbo
 
Huyo ni system
Hoja ya msingi hujajibu au hujaelewa! No matter uko kwenye system au hauko, as far as he is a professor alitakiwa aonyeshe kuwa yeye ni prof. Au sijakupata vizuri "system" ina maana zaidi ya moja nyingine ni "ujinga?"
 
Back
Top Bottom