Professor Mkumbo na siasa za hovyo

Professor Mkumbo na siasa za hovyo

John mnyika anaweza kufanya kazi aliyoajiriwa nayo prof.Kitila mkumbo pale UDSM?

Acha dharau, udsm is not not that worse

Unajiita PSPA pure lakini arguments zako ni kama UPE pure. Mchango wangu haujatilia shaka academic qualification ya Prof. Mkumbo, nimetilia shaka mchango wake katika jamii kwa ulinganifu wa elimu yake. Ni kweli kabisa mheshimiwa John Mnyika hawezi kufanya kile anachokifanya prof. Mkumbo pale UDSM lakini vilevile ni kweli kabisa kuwa jamii ilitegemea mchango mkubwa na chanya kutoka kwa huyo prof. wako katika mambo yanayoigusa jamii moja kwa moja badala ya kuja kutuambia "Tafiti zinajibiwa kwa tafiti".
 
Article imejaa mambo kibao na Zitto ametajwa kama sehemu ya mfano wa viongozi wa kizazi kipya cha siasa. Niambie katika sakata hili la escrow unawezaje kuandika bila kumhusisha Zitto na Kafulila? Mimi nimeandika makala nyingi, ni makala gani nyingine ambayo nimemjadili Zitto ukiacha makala zangu za urais ambapo yeye ni mtu wa tano kati ya wale ambao nimeshawajadili?
huyu propesa koko anajaribu kuhamisha mjadala kijanja kwani hakuna hata sehem moja mtoa maada amezungumzia makala zake yeye kiujanja ujanja akaanza kuzichomekea hapa ili ionekane mtoa maanda anazungumzia makala zake. kumbe mtoa mada anazungumzia umalaya wa prof huyu kisiasa.
 
Uwezo wa kufanya nini? Kuna mtu amelazimishwa kusoma ninachokiandika katika makala zangu?

Mbona unajibu kama Mwigulu au Lusinde? Wewe ni prof. hebu jitofautishe na Lusinde, ndio sababu watu wanawadharau hata maprofesa wengine kwa ajili ya maprofesa kama wewe.
 
Wakati mwingine nikifikiria sababu ya Huyu Professor kupewa huo Uprofessor sipati jibu,inakuwaje msomi mwanasiasa apewe uprofessor na uwezo wake kimaamuzi ni mdogo kiasi hicho?hivi ni nani anayewapa au kuwatunukia watu uprofessor?ni viwango gani vinaangaliwa au level ya mtu?

vitendo anavyofanya huyu so called new professor vinasababisha sisi watazamaji wa mambo kujiuliza mara mbili,katoka CCM kaingia Chadema,kasababisha migogoro Chadema kafukuzwa,kaingia chama kingine na huko anasababisha tena migogoro,,,,,,,,,,,,

sasa huyu professor ina maana hana uwezo wa kuona mbali na kujua kuwa kuna kitu kinakuja?ina maana matukio yote yanayomtokea hana uwezo wa kushtuka mapema na kukaa pembeni ili asijadiliwe kwenye upuuzi?? mbona sisi watu wa kawaida tusio hata na hadhi ya kuitwa professor tunajua nini kinakuja kwa kusoma matukio??

Kitila Mkumbo bana ni aibu sana na kwa taarifa yako ni kwamba unaanza kufanya watu kuona uprofessor ni kitu cha kawaida sana kama jamaa mwingine aliyetufanya kuona Urais ni kitu cha kawaida sana,

acheni kuharibu fani hizi tuzitunze kwa vizazi vijavyo,Kitila usikubali kuwa sababu ya watu kudharau uprofessor tafadhali sana kaa pembeni kaka achia wenye uwezo na wapo wengi sana

Ukifikiria sana mwishowe utakuwa chizi, kusoma kwenye makaratasi ni tofauti na kusoma maisha, busara na akili ni tofauti kidogo
 
Umesema kweli tupu.
Bahati mbaya prof Mkumbo ana lake jambo.
Nadhani prof analazimisha uchambuzi wa siasa.Anachambua kwa hisia zake.
Profesa Mkumbo, kwenye hiyo mada umesema;
"Kwa muda mrefu kabisa suala la escrow lilibaki kuwa jambo binafsi la Kafulila na mbunge mwenzake Zitto Kabwe hadi siku za hivi karibuni na hasa baada ya kuwasilishwa kwa taarifa ya PAC bungeni."
Hapo hukusema kweli, kwani Kafulila aliungwa mkono na John Mnyika na Ole Sendeka tangu mwanzo wa hoja mpaka mwisho. Zito alikuja kuingia kama mwenyekiti wa PAC. Mnyika na Sendeka walipeleka vielelezo bungeni vya jinsi pesa ilivyochotwa. Muhongo aliwakejeli kwamba zile zilikuwa karatasi za kufungia maandazi tu na kwamba yeye Muhongo angeleta ushahidi wa makaratasi ya ujazo wa Pick up!
 
Hahahahha!!!! Mnataka kumpima uprof wake kwa lipi?

Kama ni uwezo wake hata makala zake utajua kama ana uwezo ama lah!!!!!
Haja maanisha kuwa paper alizo andika akiwa anautafuta uprof wake .
Kumbuka kitila mkumbo ni mzuti sana kwenye uandishi wa sera hat za kafu zilikuwa ni yeye 95 na za chadema alikuwa pia ni yeye.

Mleta mada atuambie prof huyo kafanya nini direct na sio kuja kjmlaumu direct na watu kubase hukohuko... hiyo ni taaluma na anacho kisema na kuandika can be judged

Na hivi sasa anaandaa sera za ACT kwa ajili ya 2015
 
Wakuu unajua wakati mwingine......Haya,hebu mwenye Paper yoyote ambayo Kitila ameandika alete hapa halafu tuijadili hiyo Paper badala ya kumjadili yeye kama yeye maana Uprofesa wa mtu unajadiliwa kwa ku-challenge paper yake kwa hoja na yeye aje aitetee

Kwanza ni wapi tulikompima katika taaluma yake ya Saikolojia hadi tuseme uprofesa wake una mashaka? Maana yeye ni mwanasaikolojia kitaaluma sidhani kama application yake inafanana na elimu ya nyota sijui unajimu

Tuwe sasa na honest and intellectual debate ! ! !
Mkuu,
JF siku hizi ukitaka mjadala wenye data na hoja nzuri hutapata mchangiaji!
 
Ha ha ha ha I love JF....... wasomi Wanatoana roho huku.
 
Sasa uprofesa wa mtu si unau-challenge huko kwenye journals huko.Yaani nisipokubaliana na hoja yako nitakua na elimu ya mashaka?

Kwako wewe and the likes ni kuwa wale waumini wa "Group thinking " na "Bandwagoning" elimu yao ipo juu au ndio ma-genius.

Au ndio wale wale wenye phobia na elimu kiasi kwamba ukisikia huyu ana cheti cha Kidato cha nne wakati wewe huna unaanza kumchukia.Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizi na italigharimu taifa ile ya kuaminisha watu kuwa elimu siyo kitu kabisa.

My brother ,wake up! Hakuna taifa litakalojengwa bila kuwekeza kwenye elimu bora ya watu wake.

Pia msomi hatakiwi kujenga hoja za kisayansi kwa kufuata hisia za watu au mihemko vinginevyo tutakua na wasomi watakaoendelea kutulisha takwimu za uongo tu kama wale wanaodanganya kuwa uchumi unakua.Kuna matusi umeandika hapo juu ingawa hujui kuwa ni matusi....

Anyways,I think i should ignore you to avoid the escalation of your vituperation.
Kaka ukitulia unamwaga pointi kali sana.muache ndio wale wanaotaka kusikia mazuri tuu
 
Wakati mwingine nikifikiria sababu ya Huyu Professor kupewa huo Uprofessor sipati jibu,inakuwaje msomi mwanasiasa apewe uprofessor na uwezo wake kimaamuzi ni mdogo kiasi hicho?hivi ni nani anayewapa au kuwatunukia watu uprofessor?ni viwango gani vinaangaliwa au level ya mtu?

vitendo anavyofanya huyu so called new professor vinasababisha sisi watazamaji wa mambo kujiuliza mara mbili,katoka CCM kaingia Chadema,kasababisha migogoro Chadema kafukuzwa,kaingia chama kingine na huko anasababisha tena migogoro,,,,,,,,,,,,

sasa huyu professor ina maana hana uwezo wa kuona mbali na kujua kuwa kuna kitu kinakuja?ina maana matukio yote yanayomtokea hana uwezo wa kushtuka mapema na kukaa pembeni ili asijadiliwe kwenye upuuzi?? mbona sisi watu wa kawaida tusio hata na hadhi ya kuitwa professor tunajua nini kinakuja kwa kusoma matukio??

Kitila Mkumbo bana ni aibu sana na kwa taarifa yako ni kwamba unaanza kufanya watu kuona uprofessor ni kitu cha kawaida sana kama jamaa mwingine aliyetufanya kuona Urais ni kitu cha kawaida sana,

acheni kuharibu fani hizi tuzitunze kwa vizazi vijavyo,Kitila usikubali kuwa sababu ya watu kudharau uprofessor tafadhali sana kaa pembeni kaka achia wenye uwezo na wapo wengi sana
Una matstixo ys kugikiri.
Hebu tujuze, kuna chama cha maprofess? mahsli amnapo maprofesa hawakosei?
 
Wakuu unajua wakati mwingine......Haya,hebu mwenye Paper yoyote ambayo Kitila ameandika alete hapa halafu tuijadili hiyo Paper badala ya kumjadili yeye kama yeye maana Uprofesa wa mtu unajadiliwa kwa ku-challenge paper yake kwa hoja na yeye aje aitetee

Kwanza ni wapi tulikompima katika taaluma yake ya Saikolojia hadi tuseme uprofesa wake una mashaka? Maana yeye ni mwanasaikolojia kitaaluma sidhani kama application yake inafanana na elimu ya nyota sijui unajimu

Tuwe sasa na honest and intellectual debate ! ! !

ben sikuwahi kufikiria kama upo vizuri upstairs. Now I see how good you are. na naweza sema wewe nisehemu ya watu wachache sana wenye uelewa mpana japukuwa sikubaliani nawe kwenye mambo ya kivyama. watu wanafikiria uprofessor ni kwa kukubalika kwenye chama or elsewhere? wajinga wanachanganya mada. uprofessor is something else in academic na sio bla bla tu kama za akina kibajaji. we are talking about doing research and publications, writing well addressed books and so on.

mimi sio fan wa kitila tena tangia aanze kuwa na ndimi mbili za kuibeba ccm lakini sitaki ku-questions uprofessor wake kama huyu changudoa aliyekunywa valuu humu maana vigezo vyake ni tofauti kabisa.

Wewe nae usomi wako Una Shaka!!!!

Elimu ni uwezo sio cheti wala makaratasi.....

Wangapi wanaandikiwa hizo paper?? yaani kwa ujanja wako wote unapima akili ya MTU kwa paper??

wewe ni mpuuzi tu kama mleta mada. nyinyi ndo jamii ya wale akina kibajaji na mariaum nassor kisenge (a.k.a kisangi) pale bungeni.
Wakati mwingine nikifikiria sababu ya Huyu Professor kupewa huo Uprofessor sipati jibu,inakuwaje msomi mwanasiasa apewe uprofessor na uwezo wake kimaamuzi ni mdogo kiasi hicho?hivi ni nani anayewapa au kuwatunukia watu uprofessor?ni viwango gani vinaangaliwa au level ya mtu?

vitendo anavyofanya huyu so called new professor vinasababisha sisi watazamaji wa mambo kujiuliza mara mbili,katoka CCM kaingia Chadema,kasababisha migogoro Chadema kafukuzwa,kaingia chama kingine na huko anasababisha tena migogoro,,,,,,,,,,,,

sasa huyu professor ina maana hana uwezo wa kuona mbali na kujua kuwa kuna kitu kinakuja?ina maana matukio yote yanayomtokea hana uwezo wa kushtuka mapema na kukaa pembeni ili asijadiliwe kwenye upuuzi?? mbona sisi watu wa kawaida tusio hata na hadhi ya kuitwa professor tunajua nini kinakuja kwa kusoma matukio??

Kitila Mkumbo bana ni aibu sana na kwa taarifa yako ni kwamba unaanza kufanya watu kuona uprofessor ni kitu cha kawaida sana kama jamaa mwingine aliyetufanya kuona Urais ni kitu cha kawaida sana,

acheni kuharibu fani hizi tuzitunze kwa vizazi vijavyo,Kitila usikubali kuwa sababu ya watu kudharau uprofessor tafadhali sana kaa pembeni kaka achia wenye uwezo na wapo wengi sana

we mleta mada ni mpuuzi tu. unaonaje ukaenda kujiuza maana yaonekana panakufaa sana huko.
 
Elimu ni kalamu Si akili. na ndiyo maana watu wengi wameshindwa kufikia matarajio yao wenyewe na jamii Kwa ujumla. haihitaji ushahidi waangalie wasomi ni kama Prof Kitila tu!
 
ipo cku huyu le profesel ataenda kufua boxer za zitto kabwe.walifikili kujenga chama sawa na kujenga banda la kuku. walikua wanalaumu eti chadema haikui wao wapo ofisini wengine wanakufa field sasa wamejionea na ACT yao wameanza shikana uchawi.haaahaaahaaaa
 
Unajiita PSPA pure lakini arguments zako ni kama UPE pure. Mchango wangu haujatilia shaka academic qualification ya Prof. Mkumbo, nimetilia shaka mchango wake katika jamii kwa ulinganifu wa elimu yake. Ni kweli kabisa mheshimiwa John Mnyika hawezi kufanya kile anachokifanya prof. Mkumbo pale UDSM lakini vilevile ni kweli kabisa kuwa jamii ilitegemea mchango mkubwa na chanya kutoka kwa huyo prof. wako katika mambo yanayoigusa jamii moja kwa moja badala ya kuja kutuambia "Tafiti zinajibiwa kwa tafiti".

Ni jamii ipi unayoiongelea? wale wanafunzi wanaofundishwa pale udsm na Prof.Mkumbo sio wanajamii??

Mkuu unataka nini kutoka kwa Prof.mkumbo ili uuone mchango wake kwa hiyo jamii ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
Anafundisha,anafanya tafiti na Anaandika journals na articles kila wakati.

Au unataka aje kukufagilia geto lako au akafagile soko la kariakoo ndo uuone mchango wake kwa jamii?

Aisee, tuna safari ndefu watanzania.
 
Tutachambuaje paper za Profesa Mkumbo wakati mwenyewe ameshawahi kusema ya kuwa " tafiti haiwezi kukosolewa unless mtu anayekosoa amaefanya tafiti nyingine."
 
Specifics please.

Right now even if I feel like bashing Dr. Mkumbo (to give him his fair dues I will call him Dr. Mkumbo instead of the diminutive "Professor Mkumbo", which ironically in Tanzania seems to carry more weight, I suspect mainly due to local nomenclature, but that's another topic...).So even if I was "in the spirit" so to speak, to bash Dr. Mkumbo, the original post is rich on conjecture and short on facts. Indeed to say it is rich in conjecture is to be rather understated and overly generous, for even conjectures require a minimun effort in making them stand.

Now look, Dr. Mkumbo is as fallible as a 50's fender bender from Havana in an Anchorage winter, but I still need the original post to make it's case.
 
Ni jamii ipi unayoiongelea? wale wanafunzi wanaofundishwa pale udsm na Prof.Mkumbo sio wanajamii??

Mkuu unataka nini kutoka kwa Prof.mkumbo ili uuone mchango wake kwa hiyo jamii ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
Anafundisha,anafanya tafiti na Anaandika journals na articles kila wakati.

Au unataka aje kukufagilia geto lako au akafagile soko la kariakoo ndo uuone mchango wake kwa jamii?

Aisee, tuna safari ndefu watanzania.

mkuu kwa lugha nyepesi tu ni kwamba mkumbo hawezi siasa
 
Siasa na taaluma ni vitu viwili tofauti ila wanataaluma wengi walivoona wanasiasa wana ishi maisha mazuri kuliko wao wakadhan hata wao wanaweza wanaeza kuendesha siasa kwa taaluma zao. siasa sio facts ila ni propaganda ndio mana wanasiasa wenye taaluma, wengi wameshindwa kuonyesha positive impact na ndilo linalomkumba dr mkumbo; ni mwanataaluma ila si mwanasiasa
 
mkuu hapo tunaenda sawa mkumbo aache siasa
 
Back
Top Bottom