Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
lusungo
No , huwezi kuanza kumjadili mtu na kuanza kejeli tu na kusema una mashaka na taaluma yake halafu tusikuhoji.Haiwezekani unless kama ingekua kwenye jukwaa la Udaku&Jokes...
Nimekuambia kama ni ku-challenge uprofesa wake ukabishane nae kwenye journals huko kwenye pepa za kitaaluma alizoandika
Akileta Makala yake humu huwa tunazi-challenge na au kuzisapoti kwa kujenga hoja.
Au hujui hata nilimaanisha nini.?
Mzee,Tunasambulia hoja na sio mtu
If you are ready to engage in a robust debate, then hit me up! !
Otherwise sitakujibu tena

Last edited by a moderator: