Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Leo akiongea yanayokugusa utampa sifa za kila aina ila kesho akiongea nje ya unachokipenda utakuja hapa na matusi kibao. Watanzania ndo mlivyoBusara yako Professor Mwandosya kwa muda huu ni muhimu sana. Tumeshasikia busara za Pius Msekwa.....Hekima na busara zenu zitaandikwa kwa wino wa dhahabu.......