Professor Mark Mwandosya kuongea na wanahabari Leo

Busara yako Professor Mwandosya kwa muda huu ni muhimu sana. Tumeshasikia busara za Pius Msekwa.....Hekima na busara zenu zitaandikwa kwa wino wa dhahabu.......
Leo akiongea yanayokugusa utampa sifa za kila aina ila kesho akiongea nje ya unachokipenda utakuja hapa na matusi kibao. Watanzania ndo mlivyo
 
Acha aje maana aliondoka akiwa amenuna sanaa kwa rafu alizofanyiwa!!! Sasa tuone anataka visasi na Ze la visasi kubw la maadui au anataka suluhu??
 
Leo akiongea yanayokugusa utampa sifa za kila aina ila kesho akiongea nje ya unachokipenda utakuja hapa na matusi kibao. Watanzania ndo mlivyo
Hata mtukufu yuko ivo so usimbeze jamaa maana hata kiongozi wake yupo ivo pia
 
Aliyekuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum prof Mark Mwandosya hahaaaaa duniani kuna mambo ila Tanzania ni funga kazi

Funga kazi ni Watanzania wasioelewa Waziri asiye na Wizara maalum ni mtu mkubwa sana ambaye anatumiwa na raisi kuingilia wizara yeyote, na ambaye anafanya kazi karibu sana na Waziri Mkuu katika kuendesha wizara zote. Anamwakilisha raisi katika mambo mengi ya ndani na nje ya nchi. Anakuwa namna fulani ya naibu waziri mkuu. Lakini kwa kuwa cheo cha naibu waziri mkuu hakipo, ndio maana raisi anaweza kuteua waziri asiye na wizara maalum ambaye anakuwa ofisi ya raisi, japokuwa Mwinyi aliamua kumteua Mrema nafasi hiyo na kumwita Naibu waziri mkuu ingawa ilikuwa ni kinyume na katiba.

Sasa usipoelewa mambo uliza sio kujichekesha vitu usivyoelewa.
 
Mbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?

Stay tuned .........
Stay tuned.
 
Jamaa ungeongea bila kuandika ingekua poa sana maana leo imeshapita sijui ataongea lini tena
 
Hapo sasa...kwasasa hana impact ameshindwa kuleta bara bara mpaka ana maliza..sasa anataka kuongea nn zaid
 
c21c3eb1591e7377938d547888e8e215.jpg

18710cb089e0370e9247f56ae03ccc47.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom