Wanasheria Nguli Dkt. Tulia na Wakili Mwabukusi wote kutoka Rungwe wananikumbusha Rungwe Oceanic Resort ya Bilionea Mwakitwange!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Enzi zile mzee Mwakitwange aliitwa Mzee wa Bahari maana ndio alikuwa akitamba sawia na Hotel za taasisi Kunduchi beach hotel, Silver sands hotel na Bahari beach hotel

Nawaona Wakili msomi Mwabukusi na Mbunge wa Mbeya Mjini Dr Tulia PhD wakiwa ndio gumzo Kwenye mambo ya Bandari kwa sasa

Rungwe Mmetisha Sana

Shikamoo Prof Mark Mwandosya 😂😂😂

Kasesela ndagha fijo 😀😀
 
Back
Top Bottom