Swali Fikirishi: Kuna undugu gani kati ya Nnpe Nnauye na Profesa Mark Mwandosya?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Hili ni swali fikirishi kwa wale wanaolinganisha siasa za muonekano yaani Facial morphology ya mtu na watu fulani.

Siasa za Facial morphology kuna wakati zilimfananisha Bernad Membe na Jakaya kikwete,Zilizua maneno mengi sana na propaganda nyingi sana ,Swali la Membe Bernard na Kikwete Jakaya halikupata jibu mpaka pale Membe alipofariki na kikwete kuamua kutoa historia ndefu ya urafiki wake pamoja na Membe kuwa bosi wake Kikwete Jeshini Monduli ndiye aliyekuwa pia bosi wake Membe kwenye eneo lingine la serikali nje ya jeshi na ndiye aliyewakutanisha.

Cha kushangaza wakati wote wa tuhuma za kuwahusianisha kama ni ndugu kikwete alikuwa mkali sana akisisitiza hana urafiki na Membe bali wanafahamiana kikazi tu.

Nnape Nnauye naye anahusianishwa sana na Prof Mark Mwandosya ,Hakuna aliyejibu haya iwe Nnape Nnauye au Prof Mwandosya mwenyewe,Siasa za Facial Morphology zinaweza kukubeba na wakati mwingine kukuangusha.

Je ?swali la Nnape Nnauye na Prof Mwandosya linaweza kupata majibu mapema tofauti na lile lililodumu kwa muda mrefu la kukanusha na kulikataa lakini mwisho wa siku ikawa Familia ya Membe na Jakaya kikwete ni watu wa karibu sana yaani wa kufa na kuzikana.
 
Leta hizo sura zao kwanza tuone.
Facial morphology sio lazima iwe sura ni siasa zilizojaa kumtetea mtu fulani hata akifanya makosa ndio watu huanza kuhisi labda ana undugu na muhusika

Mfano Dotto James wakati wa JPM alikuwa hagusiki mpaka watu walipokuja kutambua ni mtoto wa Dada yake

Yawezekana ikawa sura pia lakini sio lazima
 
Hili ni swali fikirishi kwa wale wanaolinganisha siasa za muonekano yaani Facial morphology ya mtu na watu fulani.

Siasa za Facial morphology kuna wakati zilimfananisha Bernad Membe na Jakaya kikwete,Zilizua maneno mengi sana na propaganda nyingi sana ,Swali la Membe Bernard na Kikwete Jakaya halikupata jibu mpaka pale Membe alipofariki na kikwete kuamua kutoa historia ndefu ya urafiki wake pamoja na Membe kuwa bosi wake Kikwete Jeshini Monduli ndiye aliyekuwa pia bosi wake Membe kwenye eneo lingine la serikali nje ya jeshi na ndiye aliyewakutanisha.

Cha kushangaza wakati wote wa tuhuma za kuwahusianisha kama ni ndugu kikwete alikuwa mkali sana akisisitiza hana urafiki na Membe bali wanafahamiana kikazi tu.

Nnape Nnauye naye anahusianishwa sana na Prof Mark Mwandosya ,Hakuna aliyejibu haya iwe Nnape Nnauye au Prof Mwandosya mwenyewe,Siasa za Facial Morphology zinaweza kukubeba na wakati mwingine kukuangusha.

Je ?swali la Nnape Nnauye na Prof Mwandosya linaweza kupata majibu mapema tofauti na lile lililodumu kwa muda mrefu la kukanusha na kulikataa lakini mwisho wa siku ikawa Familia ya Membe na Jakaya kikwete ni watu wa karibu sana yaani wa kufa na kuzikana.
Biological father yaani baba mpanda mbegu.
 
Ccm
 
Back
Top Bottom