Professor Mark Mwandosya kuongea na wanahabari Leo

Professor Mark Mwandosya kuongea na wanahabari Leo

Mwandosya busara anayo, kariba ya uongozi anayo pia... Tofaut na uyu jamaa
 
Mbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?

Stay tuned .........
Yeye ni Mwana CCM na wao ndio wenye serikali.
Ana fursa ya kukutana na mkuu wa nchi kwa urahisi kuliko mtu wa kawaida.
Ni msomi wa ngazi ya Profesa.
Kwa hivyo mnaotegemea atasema jambo la kuikwaza serikali au chama chake msahau.Sana sana atatumia elimu yake na ushawishi wake ku justify yanayoendelea nchini.STAY TUNED.
 
Hakuna kipya zaidi ya pongezi. Akienda kinyume na hapo, mimi naahidi kujikata 'pabaya'!
 
hana mpya huyo anatafuta kiki ataishia kufagilia ujinga
 
Mbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?

Stay tuned .........
Kukatwa inauma kweri kweri,,,,
 
Aliyekuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum prof Mark Mwandosya hahaaaaa duniani kuna mambo ila Tanzania ni funga kazi
 
Mbona mwamlisha maneno hata kabla hajaongea? Bakizeni maneno!!!!
 
Hivi Lowassa ameshaongea na waandishi wa habari? Maana mlitwambia amekatiza likizo yake kuja kuongea na waandishi huku Dar.
 
Back
Top Bottom