Professor Karim or the Comedy of Errors

Mambo ya google translate haya -Swahili to English.

Bora ungeposti kwa Kiswahili tu kaka.
 
Kuandika kwenyewe shida kunakusumbuwa sembuse ndio ujuwe history?

= historia

Ukichanganya neno la Kingereza na Kiswahili amma unaliwekea "inverted commas" amma unaliwekea (mabano).

JF ni darsa kubwa kuliko shule yoyote uliyowahi kupitia. Kumbuka hilo.
 
Ungejaribu kuandika kwa kiswahili ili sisi wengine akina Maimuna tujue ulichomaanisha. Nimeambulia neno moja tu kwenye Taito ya habari "Proffessor" lakini hata hivyo na umaimuna wangu sina hakika nalo kama liko sahihi.:biggrin::biggrin::biggrin:

Nani aliyekudanganya kuwa akina "Maimuna" hatujuwi Kingereza?

Try me.
 
Ahahaha,kweli bwana halafu nataka niwaulize hawa waungwana,kwanin ukiwa mwisilamu kila saa unaonewa,unabaguliwa n.k?

Swali lako zuri sana, sisi tumeonewa siyo tunaonewa. Kwa sasa hakuna wakutuonea.

Sasa mimi nakuuliza wewe swali, jee wewe ni Mkatoliki, Muanglikana, Mlutherani, Msabato, Mpagani au Mjandaheka?
 
Mgalatia jaribu kuusoma.ujumbe, sio kutazama Spelling errors!
Hivi nyie watu Lini mtatoka nje ya Box? Au mpaka Yesu Atakakaporudi?
Naskia Vatican Wamesema kuwa Mshkaji Amesala, harudi tena.

I see!!....


= historia

Ukichanganya neno la Kingereza na Kiswahili amma unaliwekea "inverted commas" amma unaliwekea (mabano).

JF ni darsa kubwa kuliko shule yoyote uliyowahi kupitia. Kumbuka hilo.
 
I see!!....

"English please".

Mimi nimekupa darsa, ukipenda lipokee na ukipenda usipokee.

Kazi ni kwako.

Mimi nnangoja thawabu, siku nikiulizwa, ntasema nilifikisha.
 

Don't tell me about my name sir, By the way mbona unambishia mleta mada tena? haya sio maneno yangu, ni ya gwiji wenu wa Historia. ngoja nikufundishe Historia sasa acha hizo habari za Gerezani na Kipata,

Lugalo is not a fort, ipo mbele kidogo ya Ilula kama ukiwa unatoka Iringa kwenda Dar es salaam, mahali hapa ndipo Jeshi la Mtwa Mkwawa lilijificha kwa kuchimba mashimo na kisha kufunika kwa matawi wao wakiwa ndani ya shimo tayari kulisubiri jeshi la Mjerumani, hiyo ni mwaka 1891, Jeshi la Mjerumani lilipofika mahali hapo walipata kipigo cha haja kutoka kwa jeshi la Mkwawa kwa kuwaua jeshi lote la Mjerumani pamoja na kamanda wao, na waliwazika pale pale Lugalo.

Ngome ya Mtwa Mkwawa ilikuwa Kalenga, Lugalo ni Area tu ambayo inahold a remarkable event, that is why tuna Lugalo Sec School ya Mkoani Iringa, tuna Lugalo ya Makongo Jeshini, na Lugalo zingine?

Unajua maana ya Lugalo? hili ni neno la kihehe lenye maana ya "Kinacholewesha", Maeneo ambayo ambush ilifanyika palikua na mto ambao maji yake Bata Mzinga wakiyanywa walikuwa wanalewa, na ndio maana pakaitwa Lugalo, Hiyo Lugaro aliyoandika Ilongailunga silijui, hakuna neno la kihehe lenye "r"

Historia ya Kalenga au Tanganyika haitasimuliwa na Mhindi Punjab, Itasimuliwa na mimi, kwa sababu Historia hii imekua retold, retold and retold, sasa wewe ukija na habari za kwenye magazeti nakuchapa na fact.

by the way, unajua kuwa Mkuu wa Majeshi wa Mtwa Mkwawa alikuwa Mwanamke?, unamjua Musatima? unamjua Mwangimba? unaijua Kikongoma? unaijua Mlambalasi?
 
Last edited by a moderator:

Thanks Mkuu, maana walikuwa hawanielewi, utakuta huyu mleta mada ni Profesa, halafu anakuja kufanya critique eti.
 

What was the first, second and third name of Mkwawa?

What is the meaning of "Mkwawa"? is it Kihehe? Kibantu or?
 

Kwenye mnakasha wa kistaarabu,
Ulichoandika kinaonyesha aina ya ustaarabu ulionao.
 

Mkuu Ritz, nilishakisoma hiki kitabu, lakini mkuu umeshawahi kufika pale Kalenga uione Ngome ya Mtwa Mkwawa? ule na bagia za kunde, acha hizo za dengu za Kaole, Mbegani mpaka Mlingotini?
 
Last edited by a moderator:
Hivyo ulivyoandika ulifikiri utaeleweka huyo kaka'ko unaemkosoa ni yupi? Fikiri.

Hii makala imetafsiriwa toka Kiswahili kwenda Kiingereza kutumia Google Translate or some such similar online translation service. Sasa kama Mwandishi ni kaka, dada, au Professor Griffiths wa Jamaat Al Maimuuna utajaza! Lakini angalau amejaribu ingawa upeo kiduchu hawezi na hakufanikiwa kabisa kukusoa makala ya Prof Hirji.
 
Nani aliyekudanganya kuwa akina "Maimuna" hatujuwi Kingereza?

Try me.

FF,
Yaani wewe hata kama shule imepanda vipi naona kama haikusaidii ikiwa hautaacha hiyo disposition ya udini. Ningekushauri ufuatilie maigizo ya Mzee Majuto wakati ndo anaanza kushamiri kwenye soko (DTv), alitumia lugha hiyo lakini hakuwa na maana unayomaanisha wewe.Nafikiri kosa langu kubwa hapo nilisahau kufanya citation ya King Majuto.
Wow...siamini kama umeenda mbali kiasi hicho. Sorry kama umekuwa offended but I could use jina lolote as sikuwa nafikiria the way ulivyo-distinguish.
 

Chief Abdullah Mkwawa, Mtwa-Mkwavinyika bin Mtwa Muyigumba Mwamuyinga and together with Mohd Khalfan Al Barwani (Rumaliza) fought against the Germans who were under the leadership of Emil von Zelewisky at Lugalo on 16 August 1891.
They killed Von Zelewisky and a significant number of German soldiers including about 300 of his African soldiers. This made the German Chancellor to change his war startegies.
Omar Hassan Makunganya before being hanged was their ally (Mkwawa & Rumaliza) and main supplier of reinforcement troops.
Rumaliza was a marxman and there is a legendary story of his heroism in such a way after the defeat of the Germans they awarded him with an honorary medal for his heroism.

The spoils of war is a pitiful story, all that time while the Muslimans were fighting the Germans the Missioneries occupied the captured lands of the Muslimans territories and by the help of German Army they built their stations in Kalenga, Tosamaganga and Lugalo.

Just read this excerpt:

"Br. Mikael Hofer, OSB, was ordered by the Leader to report in Tosamaganga immediately, and not to return, because of the intensity of the fighting we were given two soldiers until tomorrow's meeting in Lugalo."

-Ref. P.Gerold Rupper. OSB, Pugu mpaka Peramiho 1888-1988 pg.80
 
Last edited by a moderator:
Wanapenda fujo hii dini balaa Islamic state wamechinja wakristu 20 yaani dini ya Shari na mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…