Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,057
- 108,760
Kampeni huwa haziishi
Kampeini za nini zimeanza tena?
Kampeini za nini zimeanza tena?
Wembe ni ule ule mtanyooka tu habari mfikie@MmawiaHahahah upo chato au unaimba mapambio hapo lumumba? Amekwendraaaaaa
Kwani alietaka kumuwahisha Mzee Mngula ndio wewe?Wembe ni ule ule mtanyooka tu habari mfikie@Mmawia
Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
Kuna watu wanaowashinda kwa kujikweza, maringo, majigambo ya usomi na utajiri kama nyie nshomile, au unaongea kinyume.....nyie si mliita billion nane ni pesa ya mboga, nenda kakamate senene...Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri.
Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama.
Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Hata mimi nimeshindwa kuelewa kabisaKampeini za nini zimeanza tena?
Hahahhahhha. Walaaniwe wamtegemeao BINAADAM. soma hiyoooooWembe ni ule ule mtanyooka tu habari mfikie@Mmawia
Ushakuwa na Vinasaba na kanda ya Ziwa tuu,hesabu imekula kwako. Hatutarudia tenaa.Ndio the next V P?
Mataga wewe unatoka anaingia mwingineMuhongo anapoamua kujifungulia uzi!
Tunamkumbuka alimwambie Mengi na Watanzania kuwa wana hela za kuwekeza kwenye Juice na si kwenye GasHuyo muhongo hafai kuwa kiongozi kama unajidanganya awamu atakumbukwa utasubiri sana.
Hatukuwahi kuwa na Proffesor wa ovyo kama huyu ,kama sikosei alishasemaga kuwa wafanyabiashara watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice tuu na si vingenvyoNampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri.
Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama.
Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Ana dharau sana yule mjitaTunamkumbuka alimwambie Mengi na Watanzania kuwa wana hela za kuwekeza kwenye Juice na si kwenye Gas
Tema mate chini
Hatukuwahi kuwa na Proffesor wa ovyo kama huyu ,kama sikosei alishasemaga kuwa wafanyabiashara watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice tuu na si vingenvyo
VP Kigoma au TaboraTema mate chini
Kichuguu 🤣 🤣 🤣Kampeini za nini zimeanza tena?
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Duh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!