Profesa Sospeter Muhongo hongera

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri.

Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama.

Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.

Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
 
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.

Lala wewee
 
Ndio the next V P?
 
Upuuzi huyu kwa sasa ni irrelevant hatuwezi kuwa na watu toka nazaliwa mpaka sasa nazalisha wao bado tu wanang'ang'ania kukaa kwenye vyeo watuachie sasa tutakuja kupigana mapanga bure hata sisi tuna familia za kulisha na tuna dreams za kuachieve na pia tuna malengo ya kuacha alama kwenye taifa letu.
 
Funguka basi ndiyo VP mpya? 😜

Duh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!
 
kumbuka katoa kilio chako Prof. Muhogo asiwadharau wasio na elimu. Ashatabainisha kilio chake kisha ww tena unamletea kanuni za uandishi
 
Kuna haja gani ya kuandika kitu ambacho unataka watu wengine zaidi yako wakisome lakini wewe ukaandika kwa mafumbo? ambayo unayajua wewe peke yako tu?kwa Nini unachangia kueneza hofu,uzushi na sintofahamu?
Maana Kila mtu atatafsiri andiko lako kivyake.
 
Kwanini Unateseka namna hii Ndugu?
 
Huyo muhongo hafai kuwa kiongozi kama unajidanganya awamu atakumbukwa utasubiri sana.
 
Back
Top Bottom