Profesa Sospeter Muhongo hongera

Profesa Sospeter Muhongo hongera

Kweli JF kuna vijana (watoto) wengi sana na yawezekana mnajua au hamjui ila mnakazimisha kujua.

Sospiter Mwijarubi Muhongo si mkongwe 'sana' kwenye uga wa siasa za nchi hii kama unavyotaka kudanganya wasomaji, huyu jamaa amefahamika kuanzia kipindi cha Jakaya 2012 ndipo alianza kuwatumia wananchi wa Musoma vijijini.

Muhongo ni msomi, muda mwingi ametumikia elimu yake nje ya nchi hadi Kikwete alipomuona na kumtaka aje kulijenga taifa.

👉🏾Msiwe mnaandika ujinga kama hamjui.
First kuwa na heshima sio kila unayeona ameandika humu ukachukulia utoto au ukijiona wewe wa maana sana. Second, muhongo amechukuliwa hapo UDSM akiwa mtaalamu wa geology pale faculty of geology, alichukulia na kuletwa kwenye ulimwengu wa siasa kwa kuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais Kikwete ili amsaidie Rais by that time kikwete alikuwa anataka wasomi na anawaweka kwenye wizara ambazo zinaendana na profession zao, by that time tulikuwa na wimbi kubwa la uwekezaji (exploration) ya gesi kwenye southern coast corridor mie ndio nilikuwa nimeanza kazi kwenye kampuni ya exploration ya BG ambao walikuja kuambulia kisima kimoja tu wamekiuza hakina faida. So Muhongo akaja kugombea kwao ndio akapata but in general huyu ni mzee kwa siasa ya sasa wazee wa kuanzia 60 years kiukweli wanapaswa kupumzika kuwa washauri vijana bado tuna pressure kubwa sana. Ukimtetea prod. Muhongo nitashangaa despite ya utaalamu wake angebaki kama mshauri na sio mtendaji wala msimaizi in fact ameondoka kwenye uwaziri mara mbili tena kwa kashfa ndani ya wizara yake hiyohiyo hivi kweli unataka arudi tu hata kama ni mjombako jiulize tu? Pia ameshachuma vya kutosha atuachie generation nyingine maana nasi in 15 years tutapaswa kuwaachia wengine wanaomaliza vyuo kwa sasa. So to me apumzike tu. We are in the age of senior citizens kwa sasa maana ukiwa 40 unakuwa eligible kugombea hata Urais. Wapumzike
 
Elewa na kichwa chako kifafanue hapo 👇🏾...

"Sospiter Mwijarubi Muhongo si mkongwe 'sana' kwenye uga wa siasa za nchi hii kama unavyotaka kudanganya wasomaji, huyu jamaa amefahamika kuanzia kipindi cha Jakaya 2012 ndipo alianza kuwatumia wananchi wa Musoma vijijini."
 
Hivi hatuwezi kupata VP mwanamke? (E.g. Dr Asha Rose Migiro au wa calibre yake). Na waziri mkuu pia mwanamke? Ni time tupate flavor ya kike?
 
Wastaafu mnawashwa washwa nyie kubaff.
 
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri.

Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama.

Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.

Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
we ni nani zaidi ya jina lako la beatrice??
 
VP- yule aliyeshindwa kuapa mbele ya rais...mwenye jina lake alilete hapa
 
Kampeini za nini zimeanza tena?
Hongera Sospeter Muhongo kusema Hydroelectric power is outdated technology na serikali iachane nayo.

Imenikumbusha Dr. Kyaruzi, Dr. Manyahi, Dr. Nzali, Prof. Materu na hatimaye wewe Kichuguu ninayekuhifadhi jina lako.
 
Hatukuwahi kuwa na Proffesor wa ovyo kama huyu ,kama sikosei alishasemaga kuwa wafanyabiashara watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice tuu na si vingenvyo
Sasa hapo UONGO upo wapi?
 
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri.

Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama.

Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.

Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Huyu mzee ni hazina, tatizo anacheza matopeni/ccm hivyo lazima achafuke au achafuliwe.
Niliheshimu sana utendaji wake
 
Upuuzi huyu kwa sasa ni irrelevant hatuwezi kuwa na watu toka nazaliwa mpaka sasa nazalisha wao bado tu wanang'ang'ania kukaa kwenye vyeo watuachie sasa tutakuja kupigana mapanga bure hata sisi tuna familia za kulisha na tuna dreams za kuachieve na pia tuna malengo ya kuacha alama kwenye taifa letu.
Labda humjui
 
Back
Top Bottom