Profesa Sospeter Muhongo hongera

Profesa Sospeter Muhongo hongera

Alitakiwa aoneshe hicho kipimo sasa cha kutokuwa mjivuni! Kitendo cha kumjibu kwa dharai Mbunge mwenzake Ole Sendeka kwa sababu ya elimu yake ndogo/alifeli, kinamuondolea moja ya sifa aliyopewa na mtoa mada.
True!Hoja hujibiwa kwa hoja si kiwango cha elimu hata mimi sikuzipenda kauli zake za kumponda mbunge mwenzake!na kujimwambafya kwa elimu yake ambayo pia alionekana kachemka kwenye uwaziri wake, kama ameliona hilo kwamba alikosea ,basi atakuwa Muungwana.
 
Mimi nimekuelewa kuhusu hulka ya Muhongo kudharau watu, hilo halina ubishi. Labda kama kuna la ziada nyuma ya Uzi huu utuambie lakini kwa kweli Prof Muhongo ni mtu wa dharau kisawasawa.
 
True!Hoja hujibiwa kwa hoja si kiwango cha elimu hata mimi sikuzipenda kauli zake za kumponda mbunge mwenzake!na kujimwambafya kwa elimu yake ambayo pia alionekana kachemka kwenye uwaziri wake, kama ameliona hilo kwamba alikosea, basi atakuwa Muungwana.
Mkuu kama hutojali tunaomba utukumbushe hoja zao wote wawili.
 
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.

Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Public figures have to keep their words and make use of collective leadership.
 
Nani aliyekua "anajikweza" na "kufokea" wananchi hapo kabla?
 
Ingekupendeza kama VP angechaguliwa kutoka humu JF

Ova
 
Mimi nimekuelewa kuhusu hulka ya Muhongo kudharau watu, hilo halina ubishi. Labda kama kuna la ziada nyuma ya Uzi huu utuambie lakini kwa kweli Prof Muhongo ni mtu wa dharau kisawasawa.
Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
 
Kulikuwa na hoja ya viwango vya malipo na umeme na mikataba mibovu na haya makumpuni,Ole sendeka aluuliza swali la nyongeza kama sijakosea, badala ya kujibu swali alianza kwa kujisifu elimu yake na kazi alizofanya kimataifa na kusema kwamba hawezi kushindwa kwa wizara moja tuu tena Tanzania, hapo ndo akaanza kutiririka kumshambulia Ole Sendeka kwamba kwanza anaelimu ndogo sana!Ndipo muheshimiwa sana Anne Makinda (speaker)aliingilia kati kwa kumwambia ajibu hoja sio hayo ya Ole Sendeka! Upo mkuu!
Mkuu kama hutojali tunaomba utukumbushe hoja zao wote wawili.
 
Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
Umeona eeh!kwa ujumla anachembe ya DHARAU.
 
Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)
Jamaa lilikuwa very arrogant, na linatoa ukweli mchungu!

Profesa langu la miamba.!
 
Katika Wanasiasa Wasomi Tanzania huyu namkubali sana.

Sio type ya jalalani huyu.
 
Mama Samia kama atamteua huyu kuwa VP atawafurahisha sana wanyonge kwani Muhongo akipata tu hicho cheo ataanza kutumbua

(1) tumbili wote waliopo juu ya mti wa embe
Eg Kafulira nk
Wanyonge wataendeleza furaha yao kushangilia tumbuatumbua za Jiwe
 
Back
Top Bottom