Duh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!
Ni huu u VP unawapa watu kiwewe toka wajue kumbe akifa umachukua kimekuwa cheo pendwaKampeini za nini zimeanza tena?
Eti uwaziri wa nishati.Kampeini za nini zimeanza tena?
January acha kuwachafua wenzakoNampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Muhongo alishajikubali kitambo baada ya kujifanya kuwa yeye ndiye msomi wa mambo ya miamba nambari MOJA hapa Tanganyika.Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Kufa kukufaanaKampeini za nini zimeanza tena?
Nidemu huyo wa kihayaUzi umekaa kidemdem
Kamugisha bado umeshikilia ukanda!! Ota ndoto saivi hamna tena mbeleko daaadeki!! Prof muongo awaongopee hukohuko taiga niusawa saii na hakuna atayeshindwa kuapa tena maana hatutishani mambo kistaarabu na bimdash!! Kagera msubirini kina bushiri,bashungwa et al mabadiliko yajaNampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Hawezi kuwa VPNampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Moja ya mada mbovu kabisa kutoka kwa Beatrice Kamugisha ! Muhongo hana dharau! Siyo mtu wa kujikweza kwa sababu ya elimu yake!
Unakumbuka alipokuwa Waziri wa Nishati alimjibu nini Mbunge mwenzake Christopher Ole Sendeka?
Huyo muhongo hafai kuwa kiongozi kama unajidanganya awamu atakumbukwa utasubiri sana.
Kweli JF kuna vijana (watoto) wengi sana na yawezekana mnajua au hamjui ila mnakazimisha kujua.... hatuwezi kuwa na watu toka nazaliwa mpaka sasa nazalisha wao bado tu wanang'ang'ania kukaa kwenye vyeo watuachie sasa tutakuja kupigana mapanga bure ...
Alitakiwa aoneshe hicho kipimo sasa cha kutokuwa mjivuni! Kitendo cha kumjibu kwa dharau Mbunge mwenzake Ole Sendeka kwa sababu tu ya elimu yake ndogo/alifeli, kinamuondolea moja ya sifa aliyopewa na mtoa mada.Ole sendeka alikua anasumbua kwa kuongea bila hoja baadae ikagundulika kua hamnazo kwa kulidhibitisha hilo kupitia vyeti vyake,hapo tatizo lipo wapi??