Rayz of Diamond
Member
- Oct 27, 2010
- 77
- 9
Amekana kufa?Ina maana unaweza kufa na wakati huo huo bado ukawa mzima ili ukane kuwa hujafa?Hii lugha yetu bana!Ni heri tu ungesema "Mwandosya ni mzima" Halafu maybe "Azungumza na ITV kwa simu akiwa hospitali." Otherwise unaposema amekana kufa,basi inaonekana kama vile kifo na uzima vinaweza ku coexist at the same time on the same person.Something that is next to impossible.Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si mrefu...waliozusha leo kuwa amekufa si kweli....baso yupo Hospitali kutokana na ushauri wa Madkari lakini hali yake si mbaya kwa sasa..
Kwani hatakufaa? Will he survive 4reva?
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya

nchi hii inaendeshwa katika missingi ya utawala bora inayofuata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma na sio kufuata akili zako wewe ambazo hazikutoshi. nenda kasome standing order utaelewa vizuri. kila mtumishi wa umma ana haki zake, MW Atatakiwa kujiuzulu under medical background pale tu madaktari watakapothibitisha kuwa ugonjwa aliyonao hawezi kupona au hata kama akipona athari za ugonjwa zitamfanya ashindwe kuyamuda majukumu yake!And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani