Kaandika vizuri sana.... Ulifundishwa sarufi?Umeandika nini?
Escrows imefanyaje??What about escrow money. Stop talking too much
Tetea hoja yako, la sivyo endelea kulala!Kama waziri hapaswi kuilalamikia mikataba mibovu,huu ni udhaifu wa kiwango cha juu kiutendaji.Muhongo ajipime kama bado ana uhalali wa kuwa waziri mwenye dhamana ya nishati na madini.
Lini wewe binafsi uliwahi kupinga hii mikataba au ni lini uliwahi kuunga mkono hoja za wapinzani za kupinga hii mikataba?Acheni unafiki nyie watu!Hapa kazi tu, sijawahi kuwa dissappointed na huyu Professor, ktk maprofessor waliopo madarakani nafikiri ndo anayeitendea haki kiufasaha zaidi fani yake!!
JEMBE!!
Ulizaliwa wapi mkuu au Hiroshima? huyo Prof wako wa miamba ameshazilipa kampuni zinazoliibia taifa hili kwa zaidi ya miaka miwili (serikali ya awamu ya nne)na bado anaendelea kuzilipa katika serikali ya Magufuli halafu anakuja kulalamikia umma wa watanzania waoibiwa kupitia kodi zao.Hii ni sawa na kulalamika kitanda kina KUNGUNI halafu usiku unaenda kukilalia.Huu ni ujuha uliokomaa.Huyu mzee mimi nilisema anafaa sana kuwa waziri watu wakanipinga mpaka ukawa wenzangu wakanipinga
Hongera Mlowassa....wewe upo upande gani?Mi-CCM eti leo ndio inakiri huu uozo!That is why i hate CCM.Wapinzani wamewabeza kwa kupinga hii mikataba alafu leo ndio yanajidai kushituka na kuna mijitu iliyokuwa inaunga mkono misimamo ya serikali kutetea mikataba hii ila kwasababu leo hii mibovu serikali imekiri kuwepo kwa uozo huu wa mikataba,basi na yenyewe leo yatajitokeza hapa mtandaoni na kwenye media kuipongeza serikali.Ovyo kabisa hawa watu.
Wewe umeanza lini kuwa mpinzani wa sisemu?? Tuanzie hapo kwanza!! Wewe ni MNAFIKI na unatakiwa uogopwe kama kifo.Lini wewe binafsi uliwahi kupinga hii mikataba au ni lini uliwahi kuunga mkono hoja za wapinzani za kupinga hii mikataba?Acheni unafiki nyie watu!
Unajua maana ya mikataba??Ulizaliwa wapi mkuu au Hiroshima? huyo Prof wako wa miamba ameshazilipa kampuni zinazoliibia taifa hili kwa zaidi ya miaka miwili (serikali ya awamu ya nne)na bado anaendelea kuzilipa katika serikali ya Magufuli halafu anakuja kulalamikia umma wa watanzania waoibiwa kupitia kodi zao.Hii ni sawa na kulalamika kitanda kina KUNGUNI halafu usiku unaenda kukilalia.Huu ni ujuha uliokomaa.
Lowasa dhaifu ~~ MboweProf Muongo huyu huyu alimsema vibaya Zitto Kabwe juu ya mkataba wa IPTL akisema kwamba anaushapilia ili kuwakomoa maadui zake wa kisiasa.Leo anakula matapishi yake na kukiri ni mkataba mbovu.
Yeye kazikuta, akaelekezwa aendelee kuzilipa angefanyajeUlizaliwa wapi mkuu au Hiroshima? huyo Prof wako wa miamba ameshazilipa kampuni zinazoliibia taifa hili kwa zaidi ya miaka miwili (serikali ya awamu ya nne)na bado anaendelea kuzilipa katika serikali ya Magufuli halafu anakuja kulalamikia umma wa watanzania waoibiwa kupitia kodi zao.Hii ni sawa na kulalamika kitanda kina KUNGUNI halafu usiku unaenda kukilalia.Huu ni ujuha uliokomaa.
Ebu tuambie, ni lini alisema hii ni mikataba mizuri kwa taifa na je ulitaka alipigie simu akwambie alichojatibu kufanya bila kufanikiwa kuhusu kupogana na hiyo mikataba mibovu??Muhogo aache kuudharalisha uprof wake.... Hiyo mikataba kakaa nayo zaid ya miaka5 sasa...Prof gani unakuwa na lugha zinazokinzana na unaliona tatizo hulitafutii ufumbuzi?? Muhogo aache uongo
Naona una hamu ya kuvalishwa shimizi.Wanaume wakiongea tafuta jiwe usugue gaga.Tetea hoja yako, la sivyo endelea kulala!
Mikataba haivunjwi kama kuni kuna utaratibumuhongo awache porojo. tunachotaka kusikia ni kusitishwa mikataba ya kinyonyaji/wizi yote. ufundi wa kisheria uliotumika kuwela mikataba hiyo ya kinyonyaji/wizi ndio utumike kuisitisha. sio uhuni halafu tunapelekwa mahakani kudaiwa mamilioni. hao wanasheria mafundi wa wizi uwezo wa kunasua wanao vinginevyo nguvu ya umma itumike kuwahukumu wahusika wote. tuko nyuma yako jpm.
sasa anafaa kwa lipi kwa kusema kuwa hiyo mikataba si mizuri kwa Tanzania kitu ambacho kila mtanzania anajua, mimi nilidhani analeta mikakati ya kuondokana na hiyo mikatabaHuyu mzee mimi nilisema anafaa sana kuwa waziri watu wakanipinga mpaka ukawa wenzangu wakanipinga
Point yako ni nini hapa??Naona una hamu ya kuvalishwa shimizi.Wanaume wakiongea tafuta jiwe usugue gaga.