Profesa Kitila Mkumbo amchana Humphrey Polepole

Polepole a naamini katika Ujamaa na KUJITEGEMEA hadi sasa
Siyo Mh Polepole tu! Ni wanaCCM wote na pengine wasiyo wanaCCM: Ushuhuda: Chukua kadi yako ya Mwanachama,igeuze nyuma utakutana na IMANI YA CHAMA, kipengele c" kinasema Quote" Ujamaa na Kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii watu walio sawa na huru".
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa WANAHUBIRI UJAMAA na kisha wanabinafsisha
 
‪Kijana wangu Humphrey Polepole anapaswa kuelewa kuwa kazi ya chini kabisa (minimum responsibility)ya upinzani katika nchi ya kidemokrasia ni kuikosoa na kuizodoa serikali na chama kilichopo madarakani.

Mengine yote yanajengwa katika msingi huu.Kwa upinzani kuisifia serikali ni hiari lakini sio wajibu.

‬Sasa yeye kama Katibu wa Uenezi wa chama tawala kuitisha press conference kwa lengo la kulaumu upinzani kwa sababu unaikosoa na kuizodoa serikali ni kosa la kimantiki.

Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.

Naamini kijana wetu huyu hatapoteza umahiri wa kujenga hoja kama tumjuavyo.

Bado naendelea kuamini kuwa katika teuzi ambazo Mwenyekiti na Rais Magufuli alipatia sana ni pamoja na kumteua Ndugu Polepole kwa nafasi hii.

Abaki tu katika mstari wa kujenga hoja.

My take : Huenda Polepole ametishwa mzigo unaomlemea. Siyo makosa yake bali ya aliyemtwisha.

Wenye akili na weledi ndio hawa sasa
 
Nilidhani Polepole ni binaadamu, kumbe ni gazeti tu unaweza kulichana muda wowote? ?
 
jamaa kawa panya... anaogpa time yoyote akiteleza tu kaliwa
 
‪Kijana wangu Humphrey Polepole anapaswa kuelewa kuwa kazi ya chini kabisa (minimum responsibility)ya upinzani katika nchi ya kidemokrasia ni kuikosoa na kuizodoa serikali na chama kilichopo madarakani.

Mengine yote yanajengwa katika msingi huu.Kwa upinzani kuisifia serikali ni hiari lakini sio wajibu.

‬Sasa yeye kama Katibu wa Uenezi wa chama tawala kuitisha press conference kwa lengo la kulaumu upinzani kwa sababu unaikosoa na kuizodoa serikali ni kosa la kimantiki.

Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.

Naamini kijana wetu huyu hatapoteza umahiri wa kujenga hoja kama tumjuavyo.

Bado naendelea kuamini kuwa katika teuzi ambazo Mwenyekiti na Rais Magufuli alipatia sana ni pamoja na kumteua Ndugu Polepole kwa nafasi hii.

Abaki tu katika mstari wa kujenga hoja.

My take : Huenda Polepole ametishwa mzigo unaomlemea. Siyo makosa yake bali ya aliyemtwisha.

Tatizo la Professor kumbe hajui maana ya upinzani. Kazi ya upinzani ni kujenga hoja mbadala, si kukashifu kazi zinazofanywa na serkali. Kumbuka kuwa serkali ni program ya utekelezaji ya chama kilichoshinda, bila chama tawala huna serkali. Polepole anawakemea wanasema kuna njaa ili nchi itishike. Anawasema wale wanaotaka kuandamana kila kukicha ili watu wakose muda wa kufanya kazi na cama tawala kikose nafasi ya kutekeleza ajenda iliyowaahidi wananchi walioipa kura.

Repeat: kazi ya upinzani ni kuletea sera mbadala, siyo kuikashifu serkali. Kazi ya serkali ni kutekeleza ilani ya chama kilichoshinda bila bugudha bila mwingiliano wa kazi
 
Ukiambiwa taifa lina njaa hapo umekashifu serikali? Au ukiambiwa bunge liwe live ni kukashifu serikali?
 
Sio mbaya kuikashfu serikali kwa uozo inaoufanya........... vilevile.....hyo njaa kama ipo itaonekana tu hata pasipokusema....
 
Kama ni kweli haya ni maneno ya huyo Kitila Mkumbo basi na yeye namshangaa pia, kwani cheo cha H. Polepole ni kipi? Na kazi yake ni ipi, ndani ya CCM?
Ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC ya CCM. "Job description" yake ni pamoja na kuwakataza wapinzani kuhoji,kuzodoa na kupinga mabaya yanayoanywa na CCM? Rudi shule kijana au kama haiwezekani jitahidi kuficha ukilaza wako.
 
Wivu mnamuonea pole pole anakula bata kwenye nafasi ya Juu sana kwenye chama tawala sio chama cha mawese ama chaggadema
 
Ni utahira kujinasibu kuwa unakula bata at the expense of common wananchi!!
 
Back
Top Bottom