Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Ha ha ha waiter naomba ngumuNgoja ninywe bia kwanza nipate sitimu nitakuja
Unajua maaana ya kuchanwa ww mpunga wa ufipa kinondoni
Mbona unaleta jazba mletamada?Inama nikuoneshe inakuwaje,.
Hivi kitila nae mwanasiasa?Kijana wangu Humphrey Polepole anapaswa kuelewa kuwa kazi ya chini kabisa (minimum responsibility)ya upinzani katika nchi ya kidemokrasia ni kuikosoa na kuizodoa serikali na chama kilichopo madarakani.
Mengine yote yanajengwa katika msingi huu.Kwa upinzani kuisifia serikali ni hiari lakini sio wajibu.
Sasa yeye kama Katibu wa Uenezi wa chama tawala kuitisha press conference kwa lengo la kulaumu upinzani kwa sababu unaikosoa na kuizodoa serikali ni kosa la kimantiki.
Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.
Naamini kijana wetu huyu hatapoteza umahiri wa kujenga hoja kama tumjuavyo.
Bado naendelea kuamini kuwa katika teuzi ambazo Mwenyekiti na Rais Magufuli alipatia sana ni pamoja na kumteua Ndugu Polepole kwa nafasi hii.
Abaki tu katika mstari wa kujenga hoja.
My take : Huenda Polepole ametishwa mzigo unaomlemea. Siyo makosa yake bali ya aliyemtwisha.
Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
We inaonyesha chadema walichukua demu wako mkuu.....Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Rutta sio mgonjwa kabisa ila wauza madawa muhimu wanataka kupiga dili lakini tutampeleka Rutta kupata matibabuYani mpotoshwe halafu muachwe hahahaha hakuna hilo...
Chadema imeingiaje hapo? Prof. Kitila Mkumbo ni ACT Wazalendo.Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Kijana wangu Humphrey Polepole anapaswa kuelewa kuwa kazi ya chini kabisa (minimum responsibility)ya upinzani katika nchi ya kidemokrasia ni kuikosoa na kuizodoa serikali na chama kilichopo madarakani.
Mengine yote yanajengwa katika msingi huu.Kwa upinzani kuisifia serikali ni hiari lakini sio wajibu.
Sasa yeye kama Katibu wa Uenezi wa chama tawala kuitisha press conference kwa lengo la kulaumu upinzani kwa sababu unaikosoa na kuizodoa serikali ni kosa la kimantiki.
Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.
Naamini kijana wetu huyu hatapoteza umahiri wa kujenga hoja kama tumjuavyo.
Bado naendelea kuamini kuwa katika teuzi ambazo Mwenyekiti na Rais Magufuli alipatia sana ni pamoja na kumteua Ndugu Polepole kwa nafasi hii.
Abaki tu katika mstari wa kujenga hoja.
My take : Huenda Polepole ametishwa mzigo unaomlemea. Siyo makosa yake bali ya aliyemtwisha.
Mwendo kasi au ukawa?Ha ha ha waiter naomba ngumu