Profesa Kitila Mkumbo amchana Humphrey Polepole

Profesa Kitila Mkumbo amchana Humphrey Polepole

Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.

Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Vipi nyie mlioshindwa kumfikisha mahakamani mwaka wa 9 huu?
 
Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.

Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Watanzania gani unaowazungumzia kila siku kuhusu Lowassa? Unadhihirisha ulivyo mjinga unang'ang'ana Lowassa fisadi wakati serikali inajua kuwa Lowassa sio fisadi!
 
Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.

Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Lofa babako alokuzaa wewe.acha kugeneralize jisemee mwenyew uamin ila usiseme watz...
 
Alipo kuwa chuo nilikuwa namkubal sana kwa hoja zake moto moto Lakin sahiv sijui anatumia nn kufikiria kabla ya kuongea
 
This is two way traffic.Serikali ina wajibu wake wa kutekeleza kwa umma ulioichagua.Ikumbukwe umma huu ulihamasishwa na kushawishiwa kuichagua sera fulani kwa miadi ya kufanyiwa jambo fulani.Kwa upande wa pili mimi nina mtizamo tofauti na msamiati "wapinzani"
Hebu tuliulize wapinzani ni watu gani,wanapinga nini na wanampinga nani,ili iweje na mwisho wanampinga kwa nani.Tukishapata majawabu ya maswali hayo sasa turudi kwenye mjadala.Nijuavyo miye wapinzani walikuwepo wakati wa kampeni za uchaguzi na wakati huo kila chama kinaipinga kingine mbele ya umma wa Watanzania wanapingana kwa sera na mtizamo wa namna watakavyoongoza na kutawala pindi watapochaguliwa.Uchaguzi ukipita na chama fulani kuchaguliwa kwa maana ya kupewa dhamana ya kuunda na kuongoza sasa hao wamapitwa wapinzani wanapinga Serikali iliyoko madarakani au wanapinga nini.Kwa maoni yangu ambayo si lazima yawe sawasawa kwa wote Wapinzani wangefuatilia utendaji wa Serikali iliyopo ili kurekodi vyema utekelezaji wa yake walioahidi na kama kuna mapungufu basi wawasemee kwa wenye nchi ambao na Wananchi kwenye chaguzi zijazo.
 
Usimshangae,hiyo imeanzia tokea kwa aliyemteua. Badala ya kuelezea sera zake pamoja na alikofikia na ahadi alizozitoa bado anatupia upinzani lawama na kejeli.


Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.
 
Alipo kuwa chuo nilikuwa namkubal sana kwa hoja zake moto moto Lakin sahiv sijui anatumia nn kufikiria kabla ya kuongea
Chama cha MAfisi ni bingwa wa kulamba bongo za viongozi wake!! mpe huyu dogo miezi sita tu atabakia vuvuzela tupu lisilo na mbele wala nyuma. Ninamhurumia Prof Paramagamba Kabudi. Kumpoteza huyu ni kuiua Nchi.
 
Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.

Watabaki kushabikiwa na malofa tu.

kama ni kutokuaminika awamu hii imevunja record wanapiga uongo mweupe hata mtoto mdogo anaona , wanayoyasema sio wanayofanya wapo wapo tu no direction no vision , bora nimpe fisadi kura yangu lakini sio bwana yule
 
‪Kijana wangu Humphrey Polepole anapaswa kuelewa kuwa kazi ya chini kabisa (minimum responsibility)ya upinzani katika nchi ya kidemokrasia ni kuikosoa na kuizodoa serikali na chama kilichopo madarakani.


Mengine yote yanajengwa katika msingi huu.Kwa upinzani kuisifia serikali ni hiari lakini sio wajibu.


‬Sasa yeye kama Katibu wa Uenezi wa chama tawala kuitisha press conference kwa lengo la kulaumu upinzani kwa sababu unaikosoa na kuizodoa serikali ni kosa la kimantiki.


Yeye ajikite kujenga hoja za kutetea chama na maamuzi na matendo ya serikali pale bila kuzuia upinzani kufanya kazi yake ya kuzodoa kwa sababu hawezi kuzuia.


Naamini kijana wetu huyu hatapoteza umahiri wa kujenga hoja kama tumjuavyo.

Bado naendelea kuamini kuwa katika teuzi ambazo Mwenyekiti na Rais Magufuli alipatia sana ni pamoja na kumteua Ndugu Polepole kwa nafasi hii.

Abaki tu katika mstari wa kujenga hoja.

My take : Huenda Polepole ametishwa mzigo unaomlemea. Siyo makosa yake bali ya aliyemtwisha.
mjaaa inamsumbuwa tu
 
Back
Top Bottom