NMB ya UDSM au?Kuna mmoja yupo pale NMB anaitwa Neema, ni kifaa ila nadhani alishaolewa.
NMB ya UDSM au?
Nilikuwa nauliza tu na sikuwa na matamanio yoyote ila kusifia neema za mwenyezi Mungu maana ni fundi.Acha uhashirati ushaambiwa ameolewa nakwakuongezea tu nikwamba tayari ana watoto wawili.