Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.[/QUOv
VIP mindege na project zingine zinazoendelea hiv sasa je,zikiizinishwa na bajeti ya bunge?
Bunge ni dhaifuuuuuuu ukubali ukatae
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Upuuzi mtupu..kwahyo akae kimya anapoona ufisadi ?? Kisa alinunua nyumba za nssf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Wewe mlofwa shinyangakwetu unauaibisha mkoa wetu wa shinyanga (wasukuma hatuna unafiki huu) na kama umetumwa kawaambie hao walokutuma ni wajinga, wapumbavu na wazandiki!..
Binadamu sio Mti ana chance ya kubadirika matendo yake!, kwanini hamkuyafukua haya wakati hajatoa report yake!.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Hata intapintapiantanyua nae alinunua hizo Kwanza kaa kimya sasa ni mda wa kufautilia Wale Askari wanaofukuzwa ili kufich vita ya wakulu
 
Hoja hapa siyo nyumba za Nssf hoja ni je Bunge la Ndugai ni dhaifu? Toa hoja yako kama ni dhaifu au ni imara?
 
U
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Unasumbuliwa na Udini
 
Wazee wa fitna mmeanza. Mkimaliza kumfitini Assad turudi kwenye uuzwaji wa nyumba za Serikali kuna tuhuma hazijawahi jibiwa mpaka leo mfano yule waziri aliyempa nyumba mtoto wa dada yake na tuhuma nyinginezo

Ukweli unabaki pale pale

#bungenidhaifu
 
Na ninavyoijua siasa kama utani vile Assad atakalishwa pembeni kupisha wengine si LHRC wamewatajia sababu za kumuondoa CAG zilizopo kikatiba.Suala la kwa nini leo ni nonsense sababu jinai haina expiry date! Better late than never.
JPM naye ajiandae,akistaafu makaburi ya kutoa nyumba ya serikali kwa hawara hiatamwacha salama!
 
Nakumbuka jinsi jiwe alivyowapa nyumba zile wale vimada wake na mdogo wake.

Na nakumbuka pia jinsi assad alivyopigilia msumari juu ya uamzi ule wa jiwe kujiuzia zile nyumba.

Mnapo rusha mawe yenu kumbukeni na jiwe yuko kwenye nyumba yake ni ya vioo.
Baraza la mawaziri chini ya Ben walipitisha uamuzi wa kuuza nyumbani za serikali. Katika walio jiuzia hizo nyumba na mengine yaliyoendelea kwenye mauzo mnaya kumbuka.
Bunge..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari nzuri ila haikuletwa kwa wakati unaofaa.
Ingekuwa vzr kama ungeleta tuhuma hizi pindi tu hizi unazoziita hujuma alizofanya huyu CAG zilipofanyika kuliko kusubiri mpaka kuwe na mgogoro dhidi yake na wengine ndio ulete hoja chafu dhaifu ya kumhusu yeye.
Nakuomba mleta mada uwe mzalendo kwa nchi yako .
CAG hayupo kwenye ile nafasi kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu kwa ujumla tumuunge mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hilo liwe ndo swali la kwanza alinunuaje nyumba ambazo alikuwa na confict of interest nazi na avuliwe u CAG,

ila ambane ndungai zilipo 1.5 kodi zetu.
Unafikiri nani wa kumvua huo u CAG?
 
Utoto mtupu.. ulikua wapi siku zote kama si unafiki?
 
Baraza la mawaziri chini ya Ben walipitisha uamuzi wa kuuza nyumbani za serikali. Katika walio jiuzia hizo nyumba na mengine yaliyoendelea kwenye mauzo mnaya kumbuka.
Bunge..........
Nyumba za serikali ziliuzwa kwa maslahi binafsi ili vigogo wajimilikishe zile za ufukweni, Oysterbay. Sababu kuwa serikali haiwezi kufanya maintenance ya nyumba zake ni upuuzi wa kiwango cha juu
 
Ingawa wabunge wanajitetea Spika ni dhaifu lakini aliteuliwa miongoni mwao hivyo Bunge lote sawa na karatasi la Choo
 
Weka huo utaratibu hapa uliamuliwa lini na nani na uweke idadi ya nyumba alizonunua Assad na ushahidi wa kujitosheleza kuhusu nyumba husika unazozizungumzia. Vinginevyo ni UZUSHI.
Asante sana Mkuu..
Maana hata Mawe alinunulia nyumba za serikali hadi vimada.
 
Back
Top Bottom