Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Sasa we we mbona unawashwawashwa ungekuwa we we ndio upon kwenye nafasi yake usingefanya hivyo???? Mbali na hayo tumeona waziri wa ujenzi akijinunulia nyumba tens mpaka mahawara wamenunuliwa. Mwisho kabisa hili jambo ni kwanini ulilete Leo wakati ni la muda mrefuuuu???? Umeona mini??

Soma gazeti fahari yetu la leo kuhusu sakata hilo la assad kununua nyumba
 
Acha upuuzi wako wewe! Tuletee kifungu kinachoonyesha kwamba wajumbe wa Board ya NSSF walikuwa hawaruhusiwi kununua nyumba hizo ambazo zilikuwa zinauzwa.
We mwehu soma hapa.

"Procurement or disposal shall not be made to a member of staff of a procurement entity or a person who has direct influence on the decision of the procurement entity acting in private capacity,either alone or as a partner in a partinership or as an officer of a company"
Hivyo ni makosa na kinyume na kanuni 7(4)za manunuzi ya umma tangazo la serikali no 446 la 2013

Sasa endelea kumtetea huyo mwizi CAG
 
Tumia akili acha kuandika mapumba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii tuhuma unaiketa leo kwa sababu ya hii issue yake NA Ndugu. Ilistahili ulete hoja hii alipochaguliwa, ama alipokuwa hakuna tatizo lililoumbuliwa NA spike.

Udini na ubaguzi sio mila yetu
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Hiyo ni roho mbaya na roho ya wivu tu, kwa Tanzania hayo ni mambo ya kawaida Sana, watu wengi wenye nafasi huwa wanatumia advantage ya nafasi zao

Angalia kiongozi mkubwa Akija tz magari mengi ya kusafirisha ujumbe wake yanakuwa ya viongozi wakubwa

Hata ww ungekuwa kwenye nafasi ungefanya hivyo hivyo
 
Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.

Sidhan kama hiyo ni ishu, ingekuwa ni ishu angekuwa ameshatolewa hapo, kiongozi mkubwa kabla ya kupewa madaraka makubwa lazima achunguzwe
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Naunga mkono hoja lkn kuitwa na spika siungi mkono. Ni huyu professel ni mdini Sana tena wale wagalatia wanawaita makafili kinakera Sana kitendo hicho yy na dau lao moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna mtu alihonga nyumba ya serikali, mtoa mada hilo pia walifahamu? kati ya aliyenunua kihalali na aliyehonga mali ya umma nani mwenye hatia?

BADO HUJANISHAWISHI, BUNGE NI DHAIFU NA BADO NIPO UPANDE WA ASAD.
 
Acha upumbavu kama wewe ni msafi ulikua wapi usilete haya kabla hajaongea ya bunge? Kanye mavi yanayokubana akili irudi, nnaona sasa unataka kuhamisha goli kwenye udini na hutoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge mmeanza kuvujisha maswali ya Profesa Assad siku hiyo ya wito.

Ni hivi, hilo suala la nyumba za umma linaanza na mkuu wa nchi na wala hutajasahau kwa hivyo, na hili haliondoi ukweli kuwa bunge ni dhaifu fullstop.
Na tukiongelea swala la nyumba tutaenda kumgusa hadi aliye kuwa boss wa boss wa sasa hivi ndugu Sumayi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madudu ya profesa sasa ndo yako laivu. Tuonesheni mengine.
Halafu mkimaliza tuambieni kwanini bunge sio dhaifu
 
Naona wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge mmeanza kuvujisha maswali ya Profesa Assad siku hiyo ya wito.

Ni hivi, hilo suala la nyumba za umma linaanza na mkuu wa nchi na wala hutajasahau kwa hivyo, na hili haliondoi ukweli kuwa bunge ni dhaifu fullstop.
Tena wakiendelea kuropoka tutafumua hata yale ambayo hawakuwahi kusikia .
 
Haya sa
Tunaomba uchunguzi ufanyike ktk hilo ili kumsafisha na tuhuma hiyo.Kama kweli alishiriki kununua nyumba akiwa mjumbe wa board nssf basi awajibishwe.
Mnaanza sasa kufukua makaburi ... mmejiandaa na mtakayo yakuta huko?/1
 
Back
Top Bottom