SAYANSI ni pana sana kuna sayansi ya lugha, sayansi ya jamii, sayansi ya siasa, sayansi ya sanaa, sayansi ya tiba, sayansi ya sanaa za maonesho, sayansi ya urais wa Tanzania, n.k., kila mtu angependa aitwe scientist.
Nimekuatana na Prof mmoja muitaliano, kiingereza chake utadhani kasoma shule zetu za kata. Naye ni mzungu au sio?huo ni ulimbukeni wako mkuu, mbona hao wadhungu unaowahusudu nao wanachapia kiswahili? Hicho kidhungu siyo lugha yetu......hivyo prof. Akichapia sioni cha ajabu nini......acha chuki binafsi banaaaaa!!!
english ndo kitu gani we mtumwa.
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
Tena mimi nawashangaa watanzania kwanini mpaka leo bado wanang'ang'ania kiingereza wakati ulaya kila nchi inatumia lugha yake mpaka degree zote. Kujua lugha nyingine ni juhudi zako binafsi endapo unategemea kufanya kazi nje ya nchi. hata hao maprofesa nawashangaa sana kwanini wakati wa presentation wanauliza maswali kwa kiingereza na sio kiswahili ili kujua vizuri uelewa wa mtu
Ni Prof wa nini ?, labda tungefahamu kwanza.., huenda ni Prof wa Kiswahili.. au Uprof wake (anachofundisha) has nothing or little to do with lugha
Do you need to be a language expert to be able to teach ?Has nothing to do with lugha? Sasa anafundishia kwa kutumia njia gani? Lugha ya alama?
Do you need to be a language expert to be able to teach ?
You teach using language, don't you?
So long as what's needed is communication so whatever lingo the Prof portrays is enough (be it sign language or gestures).., that's why I said what he is teaching (might have nothing or little to do with the language) the language is only used as a means of communication between him and his peers...
You see the when a child cry we might understand that he is communicating his hunger to us..., but the cry is not the substance of the issue, or we might not say his crying is not perfected as long as we understand.
Mi kanikera kweli...eti kiingereza kwake ndio elimu!!