Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
huo ni ulimbukeni wako mkuu, mbona hao wadhungu unaowahusudu nao wanachapia kiswahili? Hicho kidhungu siyo lugha yetu......hivyo prof. Akichapia sioni cha ajabu nini......acha chuki binafsi banaaaaa!!!mungu wangu naangalia kipindi cha this week in perspective namsikia prof.gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå löw confidence akificha weaknesses zake kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.udsm pro? Ooooh my gosh!!!
Kama wanafunzi wake kwenye taaluma yake wanamwelewa anachowafundisha wewe hiyo lugha ya kizungu unayotaka aongee ni ipi. Kiswahili chenyewe wewe kimekushinda unaandika kidhungu badala ya kizungu sasa ikiwa kiswahili tu kinkutoa mbio kweli unaweza kumsema professa hajui kizungu.Kama ameongea na kueleweka alichosema inatosha.
Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!
hii ndo tanzania, maprof wana digrii za kikuda na vyeti vya kuungaunga-by roma
Acha chuki zako wewe, unajua kizungu wewe? Yaani fikra za kikoloni bado zinatutawala.Mungu wangu naangalia kipindi cha this Week in Perspective namsikia Prof.Gaudence mpangala hoi kwa kuchapia nå kuwa nå Löw confidence akificha weaknesses zake Kwa cheko.dah,huyu ni prof au nn.UDSM pro? Ooooh my gosh!!!