Prof. Tibaijuka: Mbunge Lusinde ana elimu ya Uzamili (Masters) lakini hana cheti

Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu wananchi waliokumbwa na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Umma huku akitoa mfano wa Mbunge wa Mtera (CCM) Livingston Lusinde kwamba licha ya elimu yake ya darasa la saba lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye shahada mbili.

‘’Tukiangalia humu bungeni, Lusinde huwa anapenda kujiita darasa la saba lakini mimi ninamjua huyu ana masters (Shahada ya Uzamili) ni kwamba hana cheti tu. Sasa unaona kwamba ni perspective, Lusinde hawezi kusema ni darasa la saba, sio darasa la saba, elimu yake huyu mtu ana masters tena zaidi lakini sasa sababu ya certification, sisi tumekwama kwenye certification kwa hiyo tunashindwa kwenda mbele kama taifa. Kwa hiyo hilo naomba tuliweke kuwa ni muhimu sana’’.

Prof. Tibaijuka amesema kuna wafanyakazi wengi ambao walikuwa na uwezo mkubwa katika maeneo yao lakini wamejikuta wakifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa vyeti.

Amesema ni vizuri serikali ikaangalia pia uwezo wa mtu kuliko kuangalia vyeti peke yake kwa sababu kutokuwa na cheti hakumfanyi mtu kutokuwa na uwezo katika eneo lake la kazi.

Chanzo: Gazeti la Mwanachi,

Angalizo:
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na hoja ya Prof. Tibaijuka kwa sababu pia kuna watu wengine kama Mbunge John Mnyika ambaye elimu yake ni kidato cha sita lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye cheti cha Uzamili.

Ninakumbuka tuliwahi kujadili sana uwezo wa Lusinde baada ya mdau mmoja hapa Jamiiforums ( Pascal Mayalla ) kuleta mada (Thread) kuhusu uwezo wa Mbunge Lusinde kwenye Mada hii;

Binafsi nikiangalia sheria wanazopitisha nawaona wadhaifu kupita kiasi, kupitisha sheria ya kumkandamiza mwananchi ni ujinga uliopitiliza kwani una ndugu zako ambao sheria hizo zinawaumiza na kisha baadae zitakuja kukuumiza wewe mwenyewe, hautokuwa mbunge, waziri wala raisi milele, ipo siku utakuwa mwananchi wa kawaida na sheria hizo hizo zitakuumiza.
 
Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu wananchi waliokumbwa na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Umma huku akitoa mfano wa Mbunge wa Mtera (CCM) Livingston Lusinde kwamba licha ya elimu yake ya darasa la saba lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye shahada mbili.

‘’Tukiangalia humu bungeni, Lusinde huwa anapenda kujiita darasa la saba lakini mimi ninamjua huyu ana masters (Shahada ya Uzamili) ni kwamba hana cheti tu. Sasa unaona kwamba ni perspective, Lusinde hawezi kusema ni darasa la saba, sio darasa la saba, elimu yake huyu mtu ana masters tena zaidi lakini sasa sababu ya certification, sisi tumekwama kwenye certification kwa hiyo tunashindwa kwenda mbele kama taifa. Kwa hiyo hilo naomba tuliweke kuwa ni muhimu sana’’.

Prof. Tibaijuka amesema kuna wafanyakazi wengi ambao walikuwa na uwezo mkubwa katika maeneo yao lakini wamejikuta wakifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa vyeti.

Amesema ni vizuri serikali ikaangalia pia uwezo wa mtu kuliko kuangalia vyeti peke yake kwa sababu kutokuwa na cheti hakumfanyi mtu kutokuwa na uwezo katika eneo lake la kazi.

Chanzo: Gazeti la Mwanachi,

Angalizo:
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na hoja ya Prof. Tibaijuka kwa sababu pia kuna watu wengine kama Mbunge John Mnyika ambaye elimu yake ni kidato cha sita lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye cheti cha Uzamili.

Ninakumbuka tuliwahi kujadili sana uwezo wa Lusinde baada ya mdau mmoja hapa Jamiiforums ( Pascal Mayalla ) kuleta mada (Thread) kuhusu uwezo wa Mbunge Lusinde kwenye Mada hii;

BADO SCANDAL YA ESCROW INATETEWA

UKIMSIKILIZA VIZURI UWASILISHAJI WAKE AMEJARIBU KUFICHA SANA ASIONEKANE ANALALAMIKIA RUGEMARILA NA WENZAKE KUWA MAHABUSU KWA SABABU YA UPELELEZI KWANI

AMEMTAJA DPP, ATAJA HAKI AKASEMA KUKUBALI KUKOSOLEWA AKASEMA SHULE YAKE ALIYOPEWA 1.6 BILLION KUFUATILIWA AKASEMA ALIKUWA USA AKAONGEA NA SECRETARY GENERAL WA UN

KWA KUPATA ZAIDI YOUTUBE INAJIONESHA WAZI

Ifike muda sasa unafiki uachwe kwani kuanza kushambulia kwa mafumbo mambo ambayo yako wazi kisheria si vyema aachwe DPP na Mahakama ifanye kazi yake siyo shinikizo

Tanzania ilikuwa shamba la bibi mitandao ya wapigaji haijafurahishwa na inavyodhibitiwa, Rais aungwe mkono mamluki wanafurukuta bado wakipewa nafasi hasira zao mbaya sana
 
Huyu Prof Tibaijuka anatuabisha Sana tuliopita SUA, hovyo kabisaaa,

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Kuna hoja gani ya maana na yenye maslahi kwa nchi imewai kuwasilishwa na Lusinde?
kwa kifupi bunge letu limejaa viazi na wavivu wa kusoma, hata miswaada inayopelekwa pale wengi wao hawasomi, enzi hizo walikua wanategea Tundu Lissu asome kisha aibue jambo ndipo wote waanze kuvutana kwa hoja za kipuuzi. Huyo Tibaijuka ni walewale wanaoishi kwa fikra za mwenyekiti. DHAIFU wakubwa hawa
Nakubaliana na hoja ya kwamba kuangalia Uwezo wa mtu kiutendaji na siyo cheti.
Au kapitia njia zipi kufika chuo kikuu.
Kinachotakiwa Uwezo kiutendaji.
Lakini kumlinganisha lusinde, ndugai au musukuma kwangu Mimi NI BIG NOOOOOO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi CCM ni Mipungu one sana. Yaani kama angekuwa na akili angekataa sema naye hakugundua akawa anafurahia anataka aitwe Dr...yaani inchi hii ina Mijitu ya ajabu sana

Maccm huwa hayana aibu, JK naye walimpa mpaka PhD halafu wakawa wanamwita Dr. JK, eti naye akawa anafurahi na kucheka cheka
 
Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu wananchi waliokumbwa na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Umma huku akitoa mfano wa Mbunge wa Mtera (CCM) Livingston Lusinde kwamba licha ya elimu yake ya darasa la saba lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye shahada mbili.

‘’Tukiangalia humu bungeni, Lusinde huwa anapenda kujiita darasa la saba lakini mimi ninamjua huyu ana masters (Shahada ya Uzamili) ni kwamba hana cheti tu. Sasa unaona kwamba ni perspective, Lusinde hawezi kusema ni darasa la saba, sio darasa la saba, elimu yake huyu mtu ana masters tena zaidi lakini sasa sababu ya certification, sisi tumekwama kwenye certification kwa hiyo tunashindwa kwenda mbele kama taifa. Kwa hiyo hilo naomba tuliweke kuwa ni muhimu sana’’.

Prof. Tibaijuka amesema kuna wafanyakazi wengi ambao walikuwa na uwezo mkubwa katika maeneo yao lakini wamejikuta wakifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa vyeti.

Amesema ni vizuri serikali ikaangalia pia uwezo wa mtu kuliko kuangalia vyeti peke yake kwa sababu kutokuwa na cheti hakumfanyi mtu kutokuwa na uwezo katika eneo lake la kazi.

Chanzo: Gazeti la Mwanachi,

Angalizo:
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na hoja ya Prof. Tibaijuka kwa sababu pia kuna watu wengine kama Mbunge John Mnyika ambaye elimu yake ni kidato cha sita lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye cheti cha Uzamili.

Ninakumbuka tuliwahi kujadili sana uwezo wa Lusinde baada ya mdau mmoja hapa Jamiiforums ( Pascal Mayalla ) kuleta mada (Thread) kuhusu uwezo wa Mbunge Lusinde kwenye Mada hii;

Katika hili hakuna ubishi hata kidogo. Tukae chini tujiulze waliosoma sana ma vyeti lundo wameleta nini cha maana kwa taifa? Mfano mzuri muangalieni Ndugai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wasote halafu uyu hela ya mboga nae uprof wake utakua na mtatizo mbona Saanane alihoji tuu Doctorate ambayo inamsoto ndani yake kapotea halafu yy anampa shahada ya uzamili mtu ambae hajui hata katiba ya nchi kweli ukiwa ccm kiwango cha kufikiri kinashuka sasa kama huyu ni Prof je wa uzamivu si ndio hatari! Kibajaji hastahili hata hilo la saba inabidi awe tu kama Deo Sanga (Jah People) darasa la pili sababu hamna elimu inayoishia hapo hao wote ni Ngumbalu!
 
Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu wananchi waliokumbwa na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Umma huku akitoa mfano wa Mbunge wa Mtera (CCM) Livingston Lusinde kwamba licha
Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo wakati akichangia mjadala bungeni kuhusu wananchi waliokumbwa na zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Umma huku akitoa mfano wa Mbunge wa Mtera (CCM) Livingston Lusinde kwamba licha ya elimu yake ya darasa la saba lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye shahada mbili.

‘’Tukiangalia humu bungeni, Lusinde huwa anapenda kujiita darasa la saba lakini mimi ninamjua huyu ana masters (Shahada ya Uzamili) ni kwamba hana cheti tu. Sasa unaona kwamba ni perspective, Lusinde hawezi kusema ni darasa la saba, sio darasa la saba, elimu yake huyu mtu ana masters tena zaidi lakini sasa sababu ya certification, sisi tumekwama kwenye certification kwa hiyo tunashindwa kwenda mbele kama taifa. Kwa hiyo hilo naomba tuliweke kuwa ni muhimu sana’’.

Prof. Tibaijuka amesema kuna wafanyakazi wengi ambao walikuwa na uwezo mkubwa katika maeneo yao lakini wamejikuta wakifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa vyeti.

Amesema ni vizuri serikali ikaangalia pia uwezo wa mtu kuliko kuangalia vyeti peke yake kwa sababu kutokuwa na cheti hakumfanyi mtu kutokuwa na uwezo katika eneo lake la kazi.

Chanzo: Gazeti la Mwanachi,

Angalizo:
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na hoja ya Prof. Tibaijuka kwa sababu pia kuna watu wengine kama Mbunge John Mnyika ambaye elimu yake ni kidato cha sita lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye cheti cha Uzamili.

Ninakumbuka tuliwahi kujadili sana uwezo wa Lusinde baada ya mdau mmoja hapa Jamiiforums ( Pascal Mayalla ) kuleta mada (Thread) kuhusu uwezo wa Mbunge Lusinde kwenye Mada hii;

ya elimu yake ya darasa la saba lakini uwezo wake ni zaidi ya mtu mwenye shahada mbili.

[/ kii]
Hoja ya kuhudisha uwezo wa mtu na vyeti litaisha pale tutakaporekebisha sheria kuwa sifa ya kuwa mbunge ni shahada ya Chuo kikuu. Watumishi walifukuzwa kazi bila kulipwa kiinua mgongo kwa huduma walizotoa wakati wa utumishi wao. Baadhi
ya wawakilishi wetu walishangilia kitendo hicho.
Ili Wabunge watambue umuhimu wa elimu Katiba yetu irekebishwe Na kuweka sharti kuwa Ili uwe Mbunge lazima uwe Na shahada ya Chuo kikuu. Ukweli Ni kwamba mshahara Na marupurupu ya Wabunge haiwiani kabiss Na sifa yao ya kielimu. Ndiyo sababu Maprofesa wa vyuo vikuu wanaacha kazi hiyo na kwenda kugombea Ubunge. Lusinde hana sababu ya kujiendeleza kwa sababu maslahi yake yanalingana Na ya Prof. Tibaijuka.
 
Back
Top Bottom