Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Ww ni poyoyoNakubaliana na hoja ya Tibaijuka kuwa kuna watu hawana vyeti lakini uwezo wao ni mkubwa.
Sikubaliani na Tibaijuka kuhusiana na Lusinde. Lusinde, upeo wake ni mdogo, akili yake ni ndogo na uwezo wake ni mdogo pia. Sijui kama kuna mtu anaweza kueleza uwezo mkubwa wa Lusinde upo katika nini!
Sent using Jamii Forums mobile app