Nashangaa sijasikia akiongelea migogoro ya ardhi Tanga,moro,iringa na kwingineko zaidi ya kujikita hapo kigamboni wanakotaka kujenga mji usiojulikana na wakaazi wake hawajulikani watakuwa akina nani. huu ni ujinga uliozidi viwango vya ujinga.hivi kweli tunaweza kujisifu sasa wizara imepata waziri ambaye ni profesa?
Wewe ndio umelaaniwa huna akili huna kabisa...unamshambulia mwenzako bureNani aliyekuachia laana wewe usiyekua na akili ifweero.
Wakati nchi nyingine unaposikia Prof unahisi ni mtu mwenye uelewa na bila shaka siyo mwizi na fisadi Tanzania ni kinyume. Tanzania ukisikia Profesa moja kwa moja unamhusisha na ufisadi, BASI!Huyu mama amekuwa mwizi kuliko mapanya aliyoyakuta kwenye huo ukoo wa panya. Kwa kifupi amekuwa panya buku...
Mi nilitegemea ataongelea Luchelele na Mhonze huku Mwanza lakini kimya. Huyu mama ni janga la kidunia, sijui UN walimuokota wapi.
Kwa hiyo yeye akawa mahakama sasa!!!!!!!?????? Tiba, where is your sharp and critical commenting style in this!!!!!??????
Mdee mwenyewe yuko uchi anatakiwa kupatiwa nguo avalishwe
Wewe ndio umelaaniwa huna akili huna kabisa...unamshambulia mwenzako bure
Ngeleja, Makamba nk. wana ekari 200 kila moja pale karibu na Sophia panaitwa KijakaMdee alimbana haswaaa....Mama aliishia kumkejeli mdee na kujisifia..hakujibu hoja za mdee.Mradi wa kigamboni ni "deals" za watu....hakuna kitu pale....Sasahivi wamekomaa za zile ekta za nyongeza...wanajigawia watakavyo...Sophia Simba ana zaidi ya ekta 50 amejenga kijiji huko.......
Its high time now faustine Ndungulile simama bodly na wananchi wako muupinge mradi huu...Miaka saba ya wananchi kutokujua hatma yao...na shughuli za ujenzi kusimama..ni mateso makubwa sana kwa wananchi.....Wananchi wenye makazi kigamboni hawakopesheki kwenye taasisi za kifedha.......
Ndungulile unatakiwa kuwatetea wananchi wako...CCM unajua haikupendi...2015 jimbo utalipata tu ukionesha msimamo wako...Huu mradi ni nightmere kwa wananchi.....Upigwe stop.....Wameona kule Oysterbay na Masaki pamejaa sasaivi wanataka kuwatimua walalahoi ili wao wakaishi kigamboni
Wakati nchi nyingine unaposikia Prof unahisi ni mtu mwenye uelewa na bila shaka siyo mwizi na fisadi Tanzania ni kinyume. Tanzania ukisikia Profesa moja kwa moja unamhusisha na ufisadi, BASI!
Binti kisauti
naogopa kuchangia huu uzi nasikia ni member huku,mabwe pande kunatisha.
_ila alitia huruma aliweweseka
Mdee ni teja
Mchango wako waweza msaidia ili kesho asichemke tena.
Ndio mana upinzani unamshabikia kagame
"ukiona unakipenda kitu mpaka unashindwa kukikosoa pale kinapofanya vibaya hukipendi bali unakiabudu" huipendi ccm wewe bali unaiabudu, hata kwenye mambo ya wazi bado huoni? kwanza ukiwa na fikra huru ukasema kitu kuirekebisha serikali ni dhambi? wanasiasa tz wametuweza yaani wametufanya tuwe vipofu hata wakiiba kuna wananchi wapo nyuma yao wanawatetea..