nasi l. nasi
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 220
- 18
hii hbr haina maana imekaa ki tanzania daima
Wewe mama haujui chochote nenda kapokee buku 7
hata kama Mkuu zumbemkuu ndio mtu ujitoe ufahamu kwa kucoment kiiiiila kitu tena kwa mrengo ambao unajua moyoni huko sahihi? Huyu na Fazafoxy wananifanya niamini kuna watu wameshikwa akili sana kwenye hii nchiunabishana na official ID ya Lumumba?
Sasa mkuu wanalipwa? Au waniambie wako kitengo gani cha chama maana wao kutwa kucha ni kutetea uovu tu. Kweli Mungu aliumba watu wa ajabuMkuu uko sahihi, mwanzoni nilipokuwa nasikia kuna watu wanalipwa buku 7 kwa kushinda humu nilikuwa napinga, lakini sasa naamini kwani kuna watu muda wote wapo hapa na mbaya zaidi wanatetea mambo ya kifisadi. Haiwezekani uwe uko hapa 24 hrs! huna kazi ya kufanya? unapata wapi pesa ya kifurushi kama hata kazi hufanyi? wewe umekuwa mods?
Posho Lumumba hata kipofu anaona wizara ya huyu mama lkn ciombaya lzm utetee ukijani wakubwa wananufaika wewe hoehae unapiga makofi huku wakikurushia makombo Dah cjui nani kawarogaCCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
mkuu ongezea kangi lugola na deo filikunjombe!Mwanaume lumumba ni Ally kessy tu, jana kawaonyesha zanzibar njia nyeupeeee!!!! Hahahaaa sasa hizo serikali mbili sijui zitapatikanaje zanzibar ikisepa? Mi ccm ni mizigo.
Niliipenda mkuu keissy kawambia ukweliJimbo moja la Zanzibar unaweza kuwaita watu wote kwa filimbi tu.....Mh Keissy.
Posho Lumumba hata kipofu anaona wizara ya huyu mama lkn ciombaya lzm utetee ukijani wakubwa wananufaika wewe hoehae unapinga makofi huku wakikurushia makombo Dah cjui nani kawarogaCCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
hahaha, jamaa kawaua mbaya, loh. kama wee mzenji lazima ushikwe na jazba.Jimbo moja la Zanzibar unaweza kuwaita watu wote kwa filimbi tu.....Mh Keissy.
hahaha, jamaa kawaua mbaya, loh. kama wee mzenji lazima ushikwe na jazba.
Mdee amebwabwaja tu na kelele nyingi zisizo na mantiki .
CCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
Ccm haiwezi kuingiza taifa kwenye matatizo subiri majibu yenye hoja za maana zenye kulenga kutatua kero za watu kwa pamoja na utaifa wao.
mkuu ongezea kangi lugola na deo filikunjombe!
CCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
hivi ulisoma hadi darasa la ngapi