Prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons'

Prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons'

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
Prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons’

Monday, 17 January 2011 19:30 newsroom

NA NJUMAI NGOTA

BAADA ya moto kuwashwa kwa wavamizi wa viwanja vya umma (wazi) na waliojitwalia maeneo ya hifadhi ya mikoko, kibao sasa kimehamia kwa watu waliojenga juu ya mawe ya alama za mipaka ya viwanja (beacons).

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameagiza waliojenga juu ya mawe hayo kubomoa kilichojengwa, kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.

Alitoa agizo hilo jana, akieleza kukerwa na baadhi ya watu waliojenga kuta juu ya mawe ya alama na wengine kuziweka ndani ya uzio wa nyumba zao.

Profesa Anna akizungumza kwa njia ya simu, alisema hivi karibuni alitembelea maeneo ya Mbezi, Dar es Salaam, ambako alikuta sheria za ujenzi zimekiukwa.

Nilipita maeneo ya Mbezi, niliona watu wamejenga uzio na mawe ya alama yakiwa ndani. Maeneo hayo yamepimwa kama ilivyo Sinza, mawe yanatakiwa yawe nje ya ukuta,Ó alisema.

Alisema atatuma watendaji kufanya ukaguzi katika maeneo hayo, akionya kuwa, wasiofuata taratibu za ujenzi watavunjiwa.

Profesa Anna alisema sheria inatoa adhabu kwa kosa la aina hiyo, ambayo ni kifungo cha miaka sita jela. Alisema kila mtu akitaka eneo lake liwe kubwa, wataziba hata njia za watu kupita.

Kwa mujibu wa Profesa Anna, anachofanya hivi sasa ni kutoa elimu kwa wananchi ili watambue umuhimu wa makazi na kufahamu sheria na kwamba, serikali haimkomoi mtu.

Desemba 14, mwaka jana, Profesa Anna aliamuru kuvunjwa kuta na jengo lililokuwa jirani na hoteli ya Palm Beach na lingine lililokuwa eneo la Ocean Road, kutokana na kujengwa kinyume cha sheria.

Kuta hizo na majengo yaliyokuwa ndani yalivunjwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Profesa Anna Desemba 30, mwaka jana, aliagiza wananchi waliojitwalia na kujimilikisha maeneo ya hifadhi ya mikoko, kubomoa nyumba zao la sivyo bomoabomoa itawakumba.

Wizara hiyo hivi karibuni ilifuta viwanja batili 44 viliyopo kwenye hifadhi ya mikoko, eneo la Jangwani Beach na kuwaagiza waliojimilikisha kubomoa majengo yao.
 
Kaza uzi dada'angu..........................tuondolee udhalimu kwenye jamii yetu.............................
 
Wapi wewe huyo mama hamna kitu anarukaruka tu la viwanja vya wazi hajamaliza karukia kitu kingine mikoani tatizo la viwanja vya wazi liko palepale mbali na beacon kuna matatizo ya msingi kama hili la Arusha vijijini wananchi wamelipia hela za kuomba viwanja na badala yake wametumia hyo hela kuwapimia vigogo viwanja yeye katoa kipaumbele kwa beacon priorities ni zipi?

Jaman mi namuona yeye ni ka wale tu 'NDEGE WA RANGI MOJA HURUKA PAMOJA' so mi simfagilii wala nini hamna tija katika hilo
 
prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons'

monday, 17 january 2011 19:30 newsroom

na njumai ngota

baada ya moto kuwashwa kwa wavamizi wa viwanja vya umma (wazi) na waliojitwalia maeneo ya hifadhi ya mikoko, kibao sasa kimehamia kwa watu waliojenga juu ya mawe ya alama za mipaka ya viwanja (beacons).
waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, profesa anna tibaijuka, ameagiza waliojenga juu ya mawe hayo kubomoa kilichojengwa, kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.
alitoa agizo hilo jana, akieleza kukerwa na baadhi ya watu waliojenga kuta juu ya mawe ya alama na wengine kuziweka ndani ya uzio wa nyumba zao.
profesa anna akizungumza kwa njia ya simu, alisema hivi karibuni alitembelea maeneo ya mbezi, dar es salaam, ambako alikuta sheria za ujenzi zimekiukwa.
ònilipita maeneo ya mbezi, niliona watu wamejenga uzio na mawe ya alama yakiwa ndani. Maeneo hayo yamepimwa kama ilivyo sinza, mawe yanatakiwa yawe nje ya ukuta,ó alisema.
alisema atatuma watendaji kufanya ukaguzi katika maeneo hayo, akionya kuwa, wasiofuata taratibu za ujenzi watavunjiwa.
profesa anna alisema sheria inatoa adhabu kwa kosa la aina hiyo, ambayo ni kifungo cha miaka sita jela. Alisema kila mtu akitaka eneo lake liwe kubwa, wataziba hata njia za watu kupita.
kwa mujibu wa profesa anna, anachofanya hivi sasa ni kutoa elimu kwa wananchi ili watambue umuhimu wa makazi na kufahamu sheria na kwamba, serikali haimkomoi mtu.
desemba 14, mwaka jana, profesa anna aliamuru kuvunjwa kuta na jengo lililokuwa jirani na hoteli ya palm beach na lingine lililokuwa eneo la ocean road, kutokana na kujengwa kinyume cha sheria.
kuta hizo na majengo yaliyokuwa ndani yalivunjwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni.
profesa anna desemba 30, mwaka jana, aliagiza wananchi waliojitwalia na kujimilikisha maeneo ya hifadhi ya mikoko, kubomoa nyumba zao la sivyo bomoabomoa itawakumba.
wizara hiyo hivi karibuni ilifuta viwanja batili 44 viliyopo kwenye hifadhi ya mikoko, eneo la jangwani beach na kuwaagiza waliojimilikisha kubomoa majengo yao.

mbona open space bado nyingi zimeingiliwa hasa ile ya pale ddc keko karibu na backery jamaa amejenga petrol station (filling station) sasa na nilisha tuma ripoti anza kazi mama
 
Ndo aina ya watendaji tunaowahitaji...kaza uzi mama...tunathamini contribution yako tokea UN-HABITAT
 
Prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons'

Monday, 17 January 2011 19:30 newsroom

NA NJUMAI NGOTA

BAADA ya moto kuwashwa kwa wavamizi wa viwanja vya umma (wazi) na waliojitwalia maeneo ya hifadhi ya mikoko, kibao sasa kimehamia kwa watu waliojenga juu ya mawe ya alama za mipaka ya viwanja (beacons).
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameagiza waliojenga juu ya mawe hayo kubomoa kilichojengwa, kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.
Alitoa agizo hilo jana, akieleza kukerwa na baadhi ya watu waliojenga kuta juu ya mawe ya alama na wengine kuziweka ndani ya uzio wa nyumba zao.
Profesa Anna akizungumza kwa njia ya simu, alisema hivi karibuni alitembelea maeneo ya Mbezi, Dar es Salaam, ambako alikuta sheria za ujenzi zimekiukwa.
ÒNilipita maeneo ya Mbezi, niliona watu wamejenga uzio na mawe ya alama yakiwa ndani. Maeneo hayo yamepimwa kama ilivyo Sinza, mawe yanatakiwa yawe nje ya ukuta,Ó alisema.
Alisema atatuma watendaji kufanya ukaguzi katika maeneo hayo, akionya kuwa, wasiofuata taratibu za ujenzi watavunjiwa.
Profesa Anna alisema sheria inatoa adhabu kwa kosa la aina hiyo, ambayo ni kifungo cha miaka sita jela. Alisema kila mtu akitaka eneo lake liwe kubwa, wataziba hata njia za watu kupita.
Kwa mujibu wa Profesa Anna, anachofanya hivi sasa ni kutoa elimu kwa wananchi ili watambue umuhimu wa makazi na kufahamu sheria na kwamba, serikali haimkomoi mtu.
Desemba 14, mwaka jana, Profesa Anna aliamuru kuvunjwa kuta na jengo lililokuwa jirani na hoteli ya Palm Beach na lingine lililokuwa eneo la Ocean Road, kutokana na kujengwa kinyume cha sheria.
Kuta hizo na majengo yaliyokuwa ndani yalivunjwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Profesa Anna Desemba 30, mwaka jana, aliagiza wananchi waliojitwalia na kujimilikisha maeneo ya hifadhi ya mikoko, kubomoa nyumba zao la sivyo bomoabomoa itawakumba.
Wizara hiyo hivi karibuni ilifuta viwanja batili 44 viliyopo kwenye hifadhi ya mikoko, eneo la Jangwani Beach na kuwaagiza waliojimilikisha kubomoa majengo yao.

i wish we ndo ungekua rais
 
mh!sasa huu ni unoko usio kuwa na faida kwa jamii,kwanza akamilishe zoezi la open spaces,kwani nyingi zimevamiwa,then asimamie kuendelezwa kwa open spaces,kwani hizi spaces ni useless spaces kwa sasa hazina maua,wala mabench ya kupumzikia,miti ya kivuli etc
 
Nadhani asiishie kwenye maneno matendo zaidi. Yale ya ukuta alotaka kuubomoa yamefika wapi?
 
wapi wewe huyo mama hamna kitu anarukaruka tu la viwanja vya wazi hajamaliza karukia kitu kingine mikoani tatizo la viwanja vya wazi liko palepale mbali na beacon kuna matatizo ya msingi kama hili la Arusha vijijini wananchi wamelipia hela za kuomba viwanja na badala yake wametumia hyo hela kuwapimia vigogo viwanja yeye katoa kipaumbele kwa beacon priorities ni zipi? Jaman mi namuona yeye ni ka wale tu 'NDEGE WA RANGI MOJA HURUKA PAMOJA' so mi simfagilii wala nini hamna tija katika hilo

wewe unaonekana ni muhindi unachuki, nenda kwenu india nyie ndo mnaotuharibia nchi na kuongeza rushwa, kwenda
 
wapi wewe huyo mama hamna kitu anarukaruka tu la viwanja vya wazi hajamaliza karukia kitu kingine mikoani tatizo la viwanja vya wazi liko palepale mbali na beacon kuna matatizo ya msingi kama hili la Arusha vijijini wananchi wamelipia hela za kuomba viwanja na badala yake wametumia hyo hela kuwapimia vigogo viwanja yeye katoa kipaumbele kwa beacon priorities ni zipi? Jaman mi namuona yeye ni ka wale tu 'NDEGE WA RANGI MOJA HURUKA PAMOJA' so mi simfagilii wala nini hamna tija katika hilo

Kujenga juu ya beacon au kufungia beacon ndani ya fensi yako ni tatizo linalohusiana na open space. Ila hii ni open space ndogo kwa ajili ya watu kupita
 
Back
Top Bottom