peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,599
- 22,530
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.
Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.
Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.