Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,068
- 2,457
Ukishapigwa nondo kichwani, ni vizuri kukubali kistaarabu tu!Oooh. Mungu akusamehe kwa haya uliyoandika hapa.
Sina nia tena ya kuendelea nawe.
In fact, nakufahamu vizuri toka zamani ulivyo na upungufu mkubwa kama binaadam.
Njia endelevu ni kuwa piga Shindano ya kwa fanya wasiendele kuzaanaMwenye kitu kilichoko "nyuma ya pazia" ni nyinyi, mnaowafanya wananchi wenzenu kuwa na nusu haki, huku nyinyi mkipandia juu ya migongo yao kwa faida zenu.
Kwani njia pekee ya ku'manage' eneo hilo ni kuvuruga maisha ya hawa watu? Hakuna njia endelevu zinazoweza kufanyika zikifaidisha pande zote bila ya kuathiri eneo husika?
Inashindikana vipi kuweka na kusimamia taratibu hizo katika eneo hilo. Kwenu kuhakikisha kuwa hakuna mifugo inayoletwa kutoka nje ni kazi kubwa zaidi kuliko kuvuruga wakazi wa eneo hilo?
Hata kuwaelimisha wananchi wenyewe waelewe maana ya kuwa na utulivu katika eneo lao, na wao wakifaidika na mali hiyo, kwenu haiwezekani; ila mnachoweza ni kutumia mabavu na vitisho?
Nyinyi ni serikali ya watu gani, hao wanaowajaza matumbo yenu kwa hasara yetu?
Nawewe hoja zako, kuhamishia watu vijiji vya ujama ilikua ni public issue, na ilikua ni kwa kila mtanzania. Wote ilikua sawia.Shivji labda angefafanua Nyerere aliwezaje kuhamisha watu vijijini kwao kuwapeleka vijiji vya ujamaa. Kama sheria ilimruhusu Nyerere kuhamishia watu vijiji vya Ujamaa kwa nguvu, basi inaruhusu Wamaasai kuhamishwa.
Vipi kuhusu wale wa kimara waliobomolewa nyumba zao kupisha maendeleo?Kwa hiyo kwa akili yako fupi, huoni kuwa inafaa wahamishiwe Serengeti, kwa mababu zao?
Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!
Najua hutanielewa, kwa sababu inaelekea uko huko huko kwenye akili za kipumbavu kutetea ujuha huu wanaotendewa wananchi wenzako kwa maslahi ya wageni na kujaza matumbo ya hao wanaonyanyasa wananchi wenzao.
Vp kuhusu wale wa kimara waliobomolewa? Maana hata fidia hawakupewa, so wamasai wao ni watu spesho sana nchi hii?Mwenye kitu kilichoko "nyuma ya pazia" ni nyinyi, mnaowafanya wananchi wenzenu kuwa na nusu haki, huku nyinyi mkipandia juu ya migongo yao kwa faida zenu.
Kwani njia pekee ya ku'manage' eneo hilo ni kuvuruga maisha ya hawa watu? Hakuna njia endelevu zinazoweza kufanyika zikifaidisha pande zote bila ya kuathiri eneo husika?
Inashindikana vipi kuweka na kusimamia taratibu hizo katika eneo hilo. Kwenu kuhakikisha kuwa hakuna mifugo inayoletwa kutoka nje ni kazi kubwa zaidi kuliko kuvuruga wakazi wa eneo hilo?
Hata kuwaelimisha wananchi wenyewe waelewe maana ya kuwa na utulivu katika eneo lao, na wao wakifaidika na mali hiyo, kwenu haiwezekani; ila mnachoweza ni kutumia mabavu na vitisho?
Nyinyi ni serikali ya watu gani, hao wanaowajaza matumbo yenu kwa hasara yetu?
Acha kuvua nguo mbele za watu. So una amini wewe ni mjinga mbele ya watu weupe?Wewe ni mweupe kichwani..huna hadhi ya kumkosoa professor...Wewe ngozi nyeusi tokea lini ukajua jambo
Wacha kumlinganisha mzee wetu na huyo std 71. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Weka hizo tofauti badala ya hizi ngonjeraHuwezi kabisa ukaona tofauti kubwa zilizopo kati ya sehemu hizi mbili?
Ukiangalia kwa makini watetezi wa hili wengi ni Sukuma gang ambao wajifanya wamesahau ishu ya kimaraKama walihamishiwa hapo 1958 that means walikuwapo hapo before existence of this Government.
And if they do.
Huoni kuwa wana haki???
Prof ametafsiri vzr sana suala la umiliki wa ardhi pamoja na kutoa mazingira ambayo mtu anayeikalia ardhi (ambaye ndiye mmiliki) anaweza kuondolewa katika umiliki huo wa ardhi.Kama walihamishiwa hapo 1958 that means walikuwapo hapo before existence of this Government.
And if they do.
Huoni kuwa wana haki???
Facts, figures na data za unafiki wa Prof Shivji kwa wakazi wa Kimara ziko wapi?Wewe unaamini wakati professor anatoa hoja kwa facts,data na vifungu ...wewe unatuletea hoja za kina kibajaji hapa.
Prof ni mnafiki tu.Prof ametafsiri vzr sana suala la umiliki wa ardhi pamoja na kutoa mazingira ambayo mtu anayeikalia ardhi (ambaye ndiye mmiliki) anaweza kuondolewa katika umiliki huo wa ardhi.
.
Watu wasome sana kesi ya Lohay Akoonay vs AG pamoja na ile ya SISI KWA SISI TRADING CO LTD vs AG.
.
Na Moja ya vitu vinavyounda NCA ni pamoja na hao wamasai wanaishi humo, nao ni part n parcel ya hiyo ardhi. Namna yoyote ya kufanya mabadiliko yanapaswa yazingatie haki zao.
Wewe kwa level yako na elimu yako huna authority kumkosoa Prof Shivji.....1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Tatizo la JF hatujuani, Kuna takataka zingine ungelizijua usingelijibizana nazoKwa hiyo kwa akili yako fupi, huoni kuwa inafaa wahamishiwe Serengeti, kwa mababu zao?
Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!
Najua hutanielewa, kwa sababu inaelekea uko huko huko kwenye akili za kipumbavu kutetea ujuha huu wanaotendewa wananchi wenzako kwa maslahi ya wageni na kujaza matumbo ya hao wanaonyanyasa wananchi wenzao.
Tanzanite Asante Sana. Mbwiga huyu eti amkosoe Prof Shivji! Maajabu!Wewe ni mweupe kichwani..huna hadhi ya kumkosoa professor...Wewe ngozi nyeusi tokea lini ukajua jambo
Na kweli, lipo Lumumba linasubiri zamu ya kufua nguo kwa wakubwa zakeAnangojea uteuzi hata wa halmashauri kuu
ccm bhana mnatetea kila kitu kibaya1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Wewe ni kati ya watu wachache ambao ni 'bogus' kabisa. Nchi inapokuwa na raia wa aina yako inakuwa 'shit country.'Ukishapigwa nondo kichwani, ni vizuri kukubali kistaarabu tu!