Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

Haya wandugu naomba tujibu maswali yafuatayo:-

1.Katika purukushani za kumkamata muhalifu wa kike na ikatokea shanga,zikakatika,hijabu ikadondoka na saa ikapotea,kitendo hicho ni;
(a)shambulio la aibu
(b)utovu wa adabu wa mkamataji
(c)halali kwasababu bila hivyo vielelezo havitapatikana
(d)si halali kwasababu muhalifu mwanamke inabidi akamatwe na mwanamke na hayupo basi aachiwe'asepe'tu.

2.Polisi wa Tanzania ni wabovu kwa sababu;
(a)hawatumii akili bali hutii amri yoyote kutoka juu.
(b)wanapendelea chama tawala waziwazi.
(c)hawawapendi wapinzani.
(d)(d)majibu yote a,b,na c ni sahihi.

3.Kwa kuwahukumu chadema kuwa ni wahuni kabla ya kuwasikiliza Rajabu kiravu ni;
(a)mkurugenzi mzuri wa tume ya taifa ya uchaguzi.
(b)mkurugenzi mzuri wa tume ya taifa ya CCM.
(c)msimamizi mzuri wa maslahi ya chama tawala.
(d)majibu yote a,b,na c ni sahihi.

4.DC asiye jua ratiba za kampeni zinazo fanyika wilayani kwake ni;

(a)mvivu anaye pokea mshahara asio ufanyia kazi.
(b)mbumbumbu tu wa kazi ya ukuu wa wilaya.
(c)mbabaishaji tu ambaye ni kielelezo cha ubaya wa kuteua watu kwasababu tu ya ukereketwa wao.
(d)mtu safi anaye fanikishwa matakwa ya chama tawala.

5.Waandishi na wachambuzi wanaoilaumu chadema kwa kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu;

(a)wanafanya kazi yao vizuri
(b)wanajipendekeza kwa ccm na watawala ili wapate safari na posho.
(c)hawajui walifanyaro kwasababu hawajasoma katiba ya nchi .
(d)mamluki wanao tumiwa na ccm kuvuruga upinzani.

6.Jukumu la kumkamata muhalifu ni la;
(a)polisi pekee.
(b)kila mwananchi.
(c)askari yoyote mwenye magwanda na silaha.
(d)vyama vya siasa.

7.Kama anaye paswa kumkamata muhalifu hataki yaani polisi wajibu wa mwananchi wa kawaida ni;

(a)kumwachia muhalifu aendelee kuvunja sheria.
(b)kumwachia muhalifu aende zake.
(c)kulalamika kwa polisi wale wale wasio taka kukamata.
(d)majibu yote a,b,na c ni sahihi.

8.Wanao sababisha amani kuvurugika katika kampeni za uchaguzi hapa tanzania ni;

(a)polisi wasio taka kutenda haki.
(b)wasimamizi wa uchaguzi na wakuu wa wilaya.
(c)viongozi wa ngazi za juu wano amuru polisi kufanya wanavyo taka na siyo polisi walivyo ona inafaaa.
(d)waroho wa madaraka wanaopendelea ccm kwa makusudi kwa matarajio ya kupandishwa vyeo.

Toa hoja sio vihoja.

Mkuu huu mtihani ni kiboko!

Yaani haki ya nani ukimpatia Mukama anapata 0%

Ubunifu mzuri Mkuu!!
 
Uroho wa madaraka na njaa ya profesa Safari itawaponza Chadema.Huyu profesa uchwara CUF walimshtukia mapema na uroho wake.Kwa ndani waligundua anatumika kuuwa vyama vya upinzani ndipo akatimkia Chadema.
Fursa mliyopewa CHADEMA mnaipoteza.Kiburi chenu kitawaondoa kabisa katika uwanja wa siasa.
Hivi Chadema muko na ubavu kweli wa kupambana na waislamu wa Tanzania!.
Chadema Nendeni huko na ujinga wenu.
kweli elimu ni adui wa uislam. kweli wewe unaweza kumfananisha prof. safari na hao mashehe uchwara waganga njaa wa bakwata? najua huu ni mpango maalumu wa ccm kutumia majuha kama nyinyi kubaki madarakani ....na kwa sababu mbongo zenu ni kama misukule ,mnameza kila kitu mnachoambiwa kwenye ibada zenu za kichochezi kuhusu nyerere/mfumo kristo/kanisa katoliki/chadema/dr slaa n.k
 
Kikwete alipozungumzia udini wa maaskofu kwenye uchaguzi mkuu alitukanwa sana,lakini alipoleta udini kwa kutukana waislamu wenzake siku ya idi maaskofu wakamsifu sana kwamba anajua kazi.
Profesa Safari naye kaungana na maaskofu kutukana waislamu anasifiwa sana kwamba ndiye profesa wa kweli kumbe ni mbumbumbu kabisa katika dini yake.
 
Chadema na nyie mko kama mwanamke malaya hamliziki hata mfanyiwe kitu kizuri kwenu ni taabu tu! Mbona TBC inatoa habari za vyama vyote Igunga bila ubaguzi! Acheni tabia za kimalaya Chadema,TBC inaonesha habari zenu kila siku!
 
Leo mchana nimekutana na mdogo wake DC FATMA KIMARIO mitaa ya Kkoo akanidokeza kuwa dada yake huyo ni Mkristo wa Ukweli wa Roman Katoliki na anasema dadake jina la fatma ni la kimaslahi zaidi kwani kule kwao WAMETUMWA ELA ATI! na anashangaa baadhi ya watu kusema dadake ni Muislamu! nashawishika kumuamii huyu jamaa kwa kuwa kule kwao Rombo asilimia 99 ni Wakristo! hii imekaaje?
 
kweli elimu ni adui wa uislam. kweli wewe unaweza kumfananisha prof. safari na hao mashehe uchwara waganga njaa wa bakwata? najua huu ni mpango maalumu wa ccm kutumia majuha kama nyinyi kubaki madarakani ....na kwa sababu mbongo zenu ni kama misukule ,mnameza kila kitu mnachoambiwa kwenye ibada zenu za kichochezi kuhusu nyerere/mfumo kristo/kanisa katoliki/chadema/dr slaa n.k
Unajidanganya tu! na hiyo kwamba wakristo muna elimu kuliko waislamu ni moja ya burudani yenu ilhali ikiwa ni wingi wa vyumba ni kutokana na kudhulumiwa kimakusudi kwa waislamu kulikofanywa na hao uliowataja.
Ukizungumzia kuhusu kwamba waislamu unaowajuwa wewe hawatekelezi elimu yao utakuwa uko sahihi,na hii ndio salama yenu.Lakini tatizo kumbe ni njaa zilizosababiswa na hao uliowataja.
Wanachoanza kupigania waislamu sasa kwa ujinga wenu na kwa kiburi chenu ndicho ambacho hamukielewi na kwa hakika hamuna tena uwezo wa kuwazuia.....Ni kuondosha kile kinachoitwa njaa zetu na kutekeleza maamrisho ya dini yetu.
 
wakichangia leo asubuhi katika kipindi cha Asubuhi njema cha Radio Imani waislamu wengi wamemlaumu safari na kumwambia kuwa ni mbumbumbu wa elimu ya dini ya kiislamu na atambue kuwa suala la mwanamke kuvaa hijabu ni ibada kwa kuwa ni maamrisho kutoka kwa ALLAH, alisema Rashid juma kutoka mwanza. naye khamisi suleiman amesema kuwa safari akumbuke historia wakati wazee wa Dar es salaam walivyompokea Nyerere na kumpa uongozi wa TANU mwishowe aliwageuka, naye Ally mussa yeye alianza kwa kusema Safari ni sawa na KARAI ndani ya chama hicho watamtumia kwa maslahi yao kisha watamtupa kama karai la zege mbebaji wa zege anapomaliza kulitumia tunamtaka awe na heshima kwa viongozi wetu, wachangiaji wengi walimponda Prof safari kwa kauli zake alizozitoa.
 
Tatizo kudhalilishwa, sio kuwa Muislam au mkristu hivyo hoja yako haina mashiko kabisa.
 
Chadema na nyie mko kama mwanamke malaya hamliziki hata mfanyiwe kitu kizuri kwenu ni taabu tu! Mbona TBC inatoa habari za vyama vyote Igunga bila ubaguzi! Acheni tabia za kimalaya Chadema,TBC inaonesha habari zenu kila siku!

mod mpige ban amekiuka kabisa miiko ya JF
 
Leo mchana nimekutana na mdogo wake DC FATMA KIMARIO mitaa ya Kkoo akanidokeza kuwa dada yake huyo ni Mkristo wa Ukweli wa Roman Katoliki na anasema dadake jina la fatma ni la kimaslahi zaidi kwani kule kwao WAMETUMWA ELA ATI! na anashangaa baadhi ya watu kusema dadake ni Muislamu! nashawishika kumuamii huyu jamaa kwa kuwa kule kwao Rombo asilimia 99 ni Wakristo! hii imekaaje?
acha matani bana...embu katafute kwanza data za ka family tree kao....! lakini anaweza akawa AMESILIMISHWA!
 
Chadema na nyie mko kama mwanamke malaya hamliziki hata mfanyiwe kitu kizuri kwenu ni taabu tu! Mbona TBC inatoa habari za vyama vyote Igunga bila ubaguzi! Acheni tabia za kimalaya Chadema,TBC inaonesha habari zenu kila siku!

Aisee pole sana mkuu.! Sasa ulimuoa wa nini kama mkeo ni malaya? Na hatosheki, huwa ukimaliza wewe nani anafuata??
 
Unajidanganya tu! na hiyo kwamba wakristo muna elimu kuliko waislamu ni moja ya burudani yenu ilhali ikiwa ni wingi wa vyumba ni kutokana na kudhulumiwa kimakusudi kwa waislamu kulikofanywa na hao uliowataja.
Ukizungumzia kuhusu kwamba waislamu unaowajuwa wewe hawatekelezi elimu yao utakuwa uko sahihi,na hii ndio salama yenu.Lakini tatizo kumbe ni njaa zilizosababiswa na hao uliowataja.
Wanachoanza kupigania waislamu sasa kwa ujinga wenu na kwa kiburi chenu ndicho ambacho hamukielewi na kwa hakika hamuna tena uwezo wa kuwazuia.....Ni kuondosha kile kinachoitwa njaa zetu na kutekeleza maamrisho ya dini yetu.
badala ya kuondosha njaa kwa kupambana na ufisadi, mfumuko wa bei , elimu bora n.k nyinyi mnahangaika na hijab! sasa hapo unaondosha njaa au unachochea njaa! mkuu tupo kwenye karne ya 21 ..kama unataka ku copy and paste kila kitu alichofanya muhamadi basi umeliwa..!
 
wakichangia leo asubuhi katika kipindi cha Asubuhi njema cha Radio Imani waislamu wengi wamemlaumu safari na kumwambia kuwa ni mbumbumbu wa elimu ya dini ya kiislamu na atambue kuwa suala la mwanamke kuvaa hijabu ni ibada kwa kuwa ni maamrisho kutoka kwa ALLAH, alisema Rashid juma kutoka mwanza. naye khamisi suleiman amesema kuwa safari akumbuke historia wakati wazee wa Dar es salaam walivyompokea Nyerere na kumpa uongozi wa TANU mwishowe aliwageuka, naye Ally mussa yeye alianza kwa kusema Safari ni sawa na KARAI ndani ya chama hicho watamtumia kwa maslahi yao kisha watamtupa kama karai la zege mbebaji wa zege anapomaliza kulitumia tunamtaka awe na heshima kwa viongozi wetu, wachangiaji wengi walimponda Prof safari kwa kauli zake alizozitoa.
Unategemea mchango gani wa maana kutoka kwa wasikilizaji wa redio iman? Na kesho ijumaa nadhani watatoka na kituko kingine tu baada ya ibada! Mtu ambaye anayecheza bao kutwa nzima huwezi kumuweka kwenye level moja ya uelewa na Prof . Safari.
 
Huyu mama atajidhalilisha na watu watampekua mpaka ndani. Nimejiuliza akina kimario ni watu wa Rombo imekuwaje kimario ikawa Fatuma leo. Huyu mama anaitofautisha Tanzania ya sasa na ya mwaka 47 vijana wameamka kama hajui. Tunaomba achunguzwe kwa undani, zaidi hawa ndio wanaotumia majina ya watu kutafuta madaraka na wakipewa madaraka hawajui kitu chochote wanaturudisha kwenye umasikini.

Kwanza ameleta usumbufu mkubwa, jamii kuhitilafiana, watu kutupiana maneno makali, nk. Sasa viongozi wa bakwata watambue kutoa matamko ya haraka haraka bila kufikiria. Wameingizwa mkenge.
 
Back
Top Bottom