Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

Nasikia Safari alibadili DINI kabla ya kujiunga CHADEMA! Na sasa amebatizwa JOHN Jumbe Safari!
 
Ni heri kuwa na Msomi mmoja mwenye uelewa kama Profesa Safari kuliko kuwa na Watu Elfu kumi Vibaraka kama Ephrahim Kibonde. Hata kama ingekuwa kweli DC alikwenda pale kama Kiongozi wa Dini, the way wanavyoshabikia issue hiyo na kuiweka kwenye hali ya udini ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa. Inapofika mahali, kutokana na Ukibaraka wake na kujipendekeza kwa CCM Kibonde eti anadai hata Waislam wataanza kuwavua nguo Masista(kana kwamba DC ambaye ni mvunja sheria ni kiongozi wa dini), hii inaonyesha upeo wake mdogo ambao unaweza kuwashawishi wenye upeo mdogo kama yeye kuanza kutekeleza hayo ambapo sidhani kama wenzetu Wakristo nao watakubali na mwisho wake kila mtu anaujua utakuwaje.

Zamani ndio nilikuwa najua kwamba Waathirika huwa wanaweza kuzungumza mambo ambayo hawakuyatarajia lakini si baada ya kupatikana kwa ARV's.

kila sehemu majinga majinga kama kibonde yapo tu!!watake wasitake mabadiliko yanakuja
 
Siasa bhana!!! Nashindwa kutambua nini maana ya majibizano "nijuavyo ili kuzuia majibizano ni mmoja akisema mwingine hunyamaza".Sasa hii ya Safari na press conference nadhani inamushkeli kidogo.Kwa kuwa amejibu nadhani yaweza kuwa mwanzo mpya wa majibizano na Wana wa Zuoni.Kwanza kwa nini Tamko hilo litolewe na Prof. Safari? maake yeye si msemaji wa Chama.Je! ni kwa sababu yeye ndiye Muislam aliyebora ndani ya Chadema na anaweza kukabiliana na Waislam wenzie?

Kuna kosa gani kusema Prof. Safari anatumiwa kuwahujumu waislam wenzie.Hapa napata shida,Safari hata kama ni Mwanazuoni lakini hii si status yake,utambulisho wake ni Siasa na hivyo ni Mwanasiasa.Hakuwahi kuwa imamu,sheikh na pengine hata alhaji.

Tusitumie dini vibaya katika siasa na kuwatumia Waislam kuwa hujumu Waislam wenzao.Leo hii ikitokea ata Sister kavuliwa gauni lake lazima mengi yatasemwa pasipo kujali aliyemvua alikuwa Mkiristu ama Muislam.Mavazi ya dini yaheshimiwe kwani ndio utambulisho wa mtu na imani yake.Kitendo cha Wanaume kumshikashika Mwanamke asiye wake (mke) ni utovu wa maadili, ndio maana polisi wa kike na mtuhumiwa wa kike na hivyo kwa wanaume kwa wanaume.

Hivi CDM haikuwa na Wanawake wa kwenda kumtomasa huyo mama? pengine kesi hii ingekuwa tofauti.
 
Chadema kimesema kuwa hakiko tayari kujibizana na wanazuoni wa kiislamu bali kinasubiri uamuzi wa mahakama utakaoamua iwapo Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario alivuliwa hijabu kwa makusudi alipokamatwa na wafuasi wa chama hicho.

Hatua hiyo ya Chadema imekuja siku moja baada ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini (HAY AT) kukitaka chama hicho kulaani na kumuomba radhi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa kumvua sitaha yake na hivyo kumdhalilisha.

Akizungumza na wandishi wa habari Makao Makuu ya Chama hicho, Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Prof. Abdallah Safari alisema kuwa chama hicho hakiko tayari kujibizana na wanazuoni hao.

"Si vizuri kuzungumzia mambo ambayo yako mahakamani lakini mahakama itaamua kama DC Fatma alivuliwa hijabu na kama alivuliwa ni kwa makusudi gani, ni uamuzi wa mahakama pekee ndio utaokaomua," alisema Prof Safari.

Alisema kuwa Chadema haina sera ya udini kwa hiyo hakiwezi kushabikia mtu kuvuliwa hijabu kwa makusudi huku akionya viongozi wa dini kuacha kutoa taarifa zinazopotosha ukweli na zinazolenga kuvuruga mshikamano wa Watanzania.

Prof. Safari ambaye ni mwanasheria na mwanazuoni wa kiisalamu, alisema kauli hizo zina lengo la kufarakanisha umma wa waislamu na chama hicho ambacho kinalengo la kuwaondoa madarakani viongozi wanaodaiwa kunuka ufisadi wa CCM

Helkopta kukata anga

Wakati huo huo Chadema kinategemewa kuanza kutumia helkopta kurudia kampeni katika Kata zote 26, lengo likiwa ni kuwakumbusha wananchi na kuwahamasisha kukichagua chama hicho zikiwa zimebaki siku tisa kufika uchaguzi.

SOURCE:MAJIRA

Wewe Prof. Abdallah Safari unaimbishiwa wimbo ambao hujui umeanzia wapi?

Utatumika na hao jamaa kama mwavuli kudhalilisha dini yako ukiiisha wanakutupa!

Ukitaka ku-proove gombea uongozi wa juu uone mziki wake

Hutakuwa Prof. wa ukweli tena utakuwa profesa njaa..pole sana

watch out ..we are watch the movie..jitambue
 
Jamani sasa kama sisiem wamechoka kutawala lazima waondoke kama ilivyofanya Mwl alopoamua kungatuka kiungwana kwa kushindwa kucopy na wakati, sasa DC eti kavuliwa huijabu ina maana hakuwa na ulinzi. Sasa watanzania lazima tuwe makini Waislam na Wakristo kwa tanzania wote ni ndugu ila tuangalie Siasa za sisiem na kafu zisitutenganishe kama wameshindwa kupata madaraka wasitumie mabo ya uchochezi ambapo zina madhara makubwa mno tuangalie madhara ya kauli za viongozi wa dini kwa kuingilia siasa.

Tanzania Itabaki kuwa nchi ya amani na utulivu endapo tu CCM itaondoka madarakani. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kweli siku moja atajua kwamc yeye sio mwenzao
 
Wewe Prof. Abdallah Safari unaimbishiwa wimbo ambao hujui umeanzia wapi?

Utatumika na hao jamaa kama mwavuli kudhalilisha dini yako ukiiisha wanakutupa!

Ukitaka ku-proove gombea uongozi wa juu uone mziki wake

Hutakuwa Prof. wa ukweli tena utakuwa profesa njaa..pole sana

watch out ..we are watch the movie..jitambue

WE TOPICAL, TANGU LINI DINI IKAWA THAT MUCH IMPORTANT KULIKO USTAWI WA TAIFA NA WATU WAKE???

NDIO MAANA WACHINA WANASEMA wewe nenda ibadani omba Mungu mimi kufanya kazi we CHAKUU WAPI !

WAKATI UMEFIKA WATANZANIA WAMEACHA KUKUMBATIA AGENDA ZA KIPUMBAFU KAMA ZA DINI NA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KWA USTAWI WA NCHI YAO...POLE!!!!
 
Ndugu wana JF,
Naomba kutoa mada hii kwa masikitiko makubwa kabisa.

Kila ninapokuwepo nyumbani kwangu kila siku Ngereja akitupa NURU/UMEME mishale ya 20:00hrs, Masikio na macho yangu huyaelekeza TBC, chombo pekee kinachoendeshwa kwa kodi zetu sisi watanzania. Hujielekeza hapo kwa kuwa naamini chombo hiki kimebeba utaifa zaidi kuliko vingine kwa maana kwamba katika taarifa zake, nitasikia za CCM, CDM, CUF, SAU NA UDP kuhusiana na mikutano ya kampeni inayoendelea huko Igunga na maeneo mengine.

Kinachonisikitisha ni kwa wafanyakazi wa TBC wanaopata vitambi, wanaosomesha watoto wao, wanaojenga makazi yao kwa kodi zetu kutoa habari ziwahusuzo CCM pekee hali inayotunyima sisi wenye TV zinazodaka TBC na ATN pekee kupata highlight za vyama vingine kwa maana uwezo wa kununua ving'amuzi, bado kipato chetu hakijaturuhusu kufuatia serikali ya CCM kutunyima nyongeza ya mshahara ambayo ingetusaidia kununua ving'amuzi hivyo na hivyo kupanua wigo wa habari kupitia TV stations nyingine.

Je huko Igunga ni CCM pekee wanofanya kampeni? Picha za matukio ya CDM, CUF, UDP na SAU TBC mnataka nani akazipige na kuwafahamisha watanzania? Hamuoni kama mnakiuka ethical za taaluma yenu?

Mmewahi kufikiria siku upinzani ukishika dora nini kitawapata kwa kuonesha udhaofu wa kupendelea chama cha CCM?

Na nyie mkikamatwa mashati, kanzu, mitandio na nguo ya aina yoyote ile na ikiwezekana mkadundwa na watanzania wenye uchungu na kodi zetu mnazozitapanya mtalalamika kama DC Fatuma na kuenda mahakamani?

wana JF, tuanze kufikiria adhabu iwafaayo TBC kwa kutukosea kiasi hiki.
 
WE TOPICAL, TANGU LINI DINI IKAWA THAT MUCH IMPORTANT KULIKO USTAWI WA TAIFA NA WATU WAKE???

NDIO MAANA WACHINA WANASEMA wewe nenda ibadani omba Mungu mimi kufanya kazi we CHAKUU WAPI !

WAKATI UMEFIKA WATANZANIA WAMEACHA KUKUMBATIA AGENDA ZA KIPUMBAFU KAMA ZA DINI NA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KWA USTAWI WA NCHI YAO...POLE!!!!

Uhuru ndio hoja hapa..kama mtu amevaa hijabu yake kwanini umvue kwa nguvu hata kama hupendi dini hiyo?

Kuliko hakuna uvumilivu kutoka chadema na wanatakiwa kuomba radhi..period

Hawataomba kwakuwa wanawadharau waislamu na uislamu...period

we just proving our fears to this party...that it belongs to christian faith and it works for christian mission in the name of siasa..
 
Well said Prof, CCM wanaipeleka pabaya sana nchi hii, na kwa hakika nawashangaa sana wazee wanaojifanya wanabusara ndani ya CCM kwa kushindwa kukemea tabia hii iliyoanzishwa na mkuu wa nchi. Nashindwa kuelewa pia kama wakristu waliomo ndani ya CCM ni kwa nini wameshindwa ku react juu ya dhana hii, hi nim kwa sababu haya yanayosemwa kwamba watu flani wanadhalilishwa na watu wengine hata wao linawahusu kwa namna moja ama nyingine.
 
Safi sana ndugu Safari maana hawa jamaa wanatumika vibaya kweli na CCM.

Naomba uombe radhi hilo neno jekundu, Huyu siyo ndugu ni Professor, ameachanda na undugu, alifanya kazi iliyotukuka. Ndugu ni kikwete, makamba na wengineo
 
Jamani sasa kama sisiem wamechoka kutawala lazima waondoke kama ilivyofanya Mwl alopoamua kungatuka kiungwana kwa kushindwa kucopy na wakati, sasa DC eti kavuliwa huijabu ina maana hakuwa na ulinzi. Sasa watanzania lazima tuwe makini Waislam na Wakristo kwa tanzania wote ni ndugu ila tuangalie Siasa za sisiem na kafu zisitutenganishe kama wameshindwa kupata madaraka wasitumie mabo ya uchochezi ambapo zina madhara makubwa mno tuangalie madhara ya kauli za viongozi wa dini kwa kuingilia siasa.

Tanzania Itabaki kuwa nchi ya amani na utulivu endapo tu CCM itaondoka madarakani. Mungu Ibariki Tanzania.

Chadema hawafai wanaleta ubaguzi wa kidini nchin tena kwa dhahiri..na jeuri

Na wanafikiri kuchezea alama za dini ni kitu kidogo..ni moto mbaya ambao ukiwaka kuuzima ni miaka tele.

waombe radhi period..is that too much to ask?
 
Safi sana ,watumakini kutoka chama makini hujibu majibu sahihi wakati sahii.tumeshawapiga bao walizushejingine.
 
Prof.safari ametoa jibu sahihi kwa wkt sahihi nyinyi mnaotumwa na magamba imekula kwenu mbona city centre machangudoa wanafanya ufusika huku wamevaa hijab! Wanazuoni wa kiislamu mpo hapo....
 
Chadema kimesema kuwa hakiko tayari kujibizana na wanazuoni wa kiislamu bali kinasubiri uamuzi wa mahakama utakaoamua iwapo Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario alivuliwa hijabu kwa makusudi alipokamatwa na wafuasi wa chama hicho.

Hatua hiyo ya Chadema imekuja siku moja baada ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini (HAY AT) kukitaka chama hicho kulaani na kumuomba radhi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Fatma Kimario kwa kumvua sitaha yake na hivyo kumdhalilisha.

Akizungumza na wandishi wa habari Makao Makuu ya Chama hicho, Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Prof. Abdallah Safari alisema kuwa chama hicho hakiko tayari kujibizana na wanazuoni hao.

"Si vizuri kuzungumzia mambo ambayo yako mahakamani lakini mahakama itaamua kama DC Fatma alivuliwa hijabu na kama alivuliwa ni kwa makusudi gani, ni uamuzi wa mahakama pekee ndio utaokaomua," alisema Prof Safari.

Alisema kuwa Chadema haina sera ya udini kwa hiyo hakiwezi kushabikia mtu kuvuliwa hijabu kwa makusudi huku akionya viongozi wa dini kuacha kutoa taarifa zinazopotosha ukweli na zinazolenga kuvuruga mshikamano wa Watanzania.

Prof. Safari ambaye ni mwanasheria na mwanazuoni wa kiisalamu, alisema kauli hizo zina lengo la kufarakanisha umma wa waislamu na chama hicho ambacho kinalengo la kuwaondoa madarakani viongozi wanaodaiwa kunuka ufisadi wa CCM

Helkopta kukata anga

Wakati huo huo Chadema kinategemewa kuanza kutumia helkopta kurudia kampeni katika Kata zote 26, lengo likiwa ni kuwakumbusha wananchi na kuwahamasisha kukichagua chama hicho zikiwa zimebaki siku tisa kufika uchaguzi.

SOURCE:MAJIRA

Maneno ya hekima na yaliyotulia umeongea Prof. Kwa sisi waislamu tunaoelewa what is going on in this country, magamba wanataka kuleta mambo ya udini bila sababu. wameishiwa sera kabisa magamba. Hivi Nyerere afufuke leo na kukukta chama alichokiasisi kinakumbatia mambo ya udini km hivi si atachanganyikiwa.
 
Ni heri kuwa na Msomi mmoja mwenye uelewa kama Profesa Safari kuliko kuwa na Watu Elfu kumi Vibaraka kama Ephrahim Kibonde. Hata kama ingekuwa kweli DC alikwenda pale kama Kiongozi wa Dini, the way wanavyoshabikia issue hiyo na kuiweka kwenye hali ya udini ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa. Inapofika mahali, kutokana na Ukibaraka wake na kujipendekeza kwa CCM Kibonde eti anadai hata Waislam wataanza kuwavua nguo Masista(kana kwamba DC ambaye ni mvunja sheria ni kiongozi wa dini), hii inaonyesha upeo wake mdogo ambao unaweza kuwashawishi wenye upeo mdogo kama yeye kuanza kutekeleza hayo ambapo sidhani kama wenzetu Wakristo nao watakubali na mwisho wake kila mtu anaujua utakuwaje.

Zamani ndio nilikuwa najua kwamba Waathirika huwa wanaweza kuzungumza mambo ambayo hawakuyatarajia lakini si baada ya kupatikana kwa ARV's.

Hata yule jamaa wa kenya aitwae Joshua Arap Sang wa KASS FM alikuwa hivi hivi kama kibonde. mwisho wake yuko wapi sasa? waand ishi wetu vilaza kama kibonde wao wanajua kuwa haya hayatakuja kuwatokea. we waache tu. yakitokea, hakuna cha ccm wala jk hapo ni the hague tu.
 
Maneno ya hekima na yaliyotulia umeongea Prof. Kwa sisi waislamu tunaoelewa what is going on in this country, magamba wanataka kuleta mambo ya udini bila sababu. wameishiwa sera kabisa magamba. Hivi Nyerere afufuke leo na kukukta chama alichokiasisi kinakumbatia mambo ya udini km hivi si atachanganyikiwa.

Wewe siyo muislamu, waislamu hatuamini mtu akifa atafufuka NO! kwa hiyo nyerere hafufuki mpaka kiama

Udini unaletwa na chadema kwa kudhalilisha alama za dini za watu wengine
 
Back
Top Bottom