Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
nimekupata kamanda ila yeye kama waziri wa elimu angebidi afanye mchakato wa kurekebishaMkuu Chuo cha UDOM shida kubwa hawana hospitali na vitendea kazi vinavyokidhi vigezo. Kwa hiyo marekebisho ya UDOM yanahitaji muda mrefu na ukweli ni kwamba serikali haina pesa. Chukulia mfano wabunge walivyopigia kelele bajeti ya wizara ya elimu, sasa kama angeomba bilioni 15 za ujenzi wa hospitali Si ndo ingekuwa vita kabisa. Mambo mengine hatuna budi kuvumilia Ni makosa ya serikali zilizotangulia. Bora kuwa na madaktari wachache wenye ubora Kuliko wengi wasio na ubora unaotakiwa.