Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Mama wa matamko&Anajisikia kuwa na ufahamu na mambo ya elimA kuliko prof&Dr yeyote....HATUTAKI MKURUPUSHI MWINGINE.Atakuwa Rais wa familia yake...
 
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
UNATOA KOFIA YA HELMET MATOKEO YAKE UNAKUJA KUVAA POP KICHWANI
 
Wa nchi ipi? Ya kufikirika? Na yule mwenye kulalia kiti kwa mwezi matatu maulizo bila kuchoka awe lini?
 
Ah! mnataka Profesa Ndalichako awe mgombea (Mwenyekiti wa chama) kama Profesa Lipumba, kuweni makini na maprofesa wetu hawa. Maana hawachelewi kujiuzulu na kujirudisha wenyewe.

Inasikitisha mtu mwenye PHD kuzozana na watu wa kada ya chini kisa Uenyekiti wa SACOS
 
Back
Top Bottom