Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Mfano chuo cha udom kimefungiwa upande wa doctor of medicine sasa una jiuliza udom n chuo cha serikali yeye kama waziri alitakiwa kujua matatizo ya udom ili kuyarekebisha una po kifungia wakati atuna ma daktari n sawa na baba mwenye nyumba kukimbia nyumba yake kisa ina ufa
 
MKUU RAISI WAKO 2025 NI EITHER JANUARY MAKAMBA AU HUSSEIN MWINYI, JIPE HOPE NA HUYO MAMA
 
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.

Non-sense at its best.
 
Mfano chuo cha udom kimefungiwa upande wa doctor of medicine sasa una jiuliza udom n chuo cha serikali yeye kama waziri alitakiwa kujua matatizo ya udom ili kuyarekebisha una po kifungia wakati atuna ma daktari n sawa na baba mwenye nyumba kukimbia nyumba yake kisa ina ufa
Mkuu Chuo cha UDOM shida kubwa hawana hospitali na vitendea kazi vinavyokidhi vigezo. Kwa hiyo marekebisho ya UDOM yanahitaji muda mrefu na ukweli ni kwamba serikali haina pesa. Chukulia mfano wabunge walivyopigia kelele bajeti ya wizara ya elimu, sasa kama angeomba bilioni 15 za ujenzi wa hospitali Si ndo ingekuwa vita kabisa. Mambo mengine hatuna budi kuvumilia Ni makosa ya serikali zilizotangulia. Bora kuwa na madaktari wachache wenye ubora Kuliko wengi wasio na ubora unaotakiwa.
 
Kama we ndo mungu mtoa pumzi basi sawa.
 
Kwa msimamo aliouonesha katika kuiweka elimu kwenye mstari ulionyooka nitamuunga mkono 100%.
Labda chama changu kimrudishe dokta Slaa.
 
Prof ndalichako waziri zao booraa kabisa la jamii forums
 
urais sio rahisi kumbuka ngazi za za chini pia balozi,wa nyumba 10,mwenyekiti wa mtaa, diwani, na ubunge vyote vinaitaj mchakato wa demokrasia kuchaguliwa sio kuteuliwa.kama utamteua urais inawezekana mkuu.
 
Bi.Joyce yupo vema sana..Mungu amtie nguvu na mkuu wake ampe sapoti ya kutosha..elimu yetu itaheshimika tena ..
 
Haha duh " ila Hakunaga science ya kichwa cha mzazi kuamia kwa mtt kama ipo ipo 2
Mama Prof ndalichako ana mtoto mmoja tu wa kiume aliyefaulu vizuri A level kwa one ya point 7 na baadaye akaenda kusomesha first degree Canada na amerudi hapa bongo anapiga kazi bila msaada wowote wa mama yake..acheni uongo kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo
 
Unamwambia nan sasa aache uongo??
 
Back
Top Bottom