Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,607
beki tatu huwa na ubuyu karibia wooote wa bosi wake.kidding.🙂🙂Inaonekana unamjua vema huyu Mama na familia yake mkuu...au na wewe ni wakishua! hahahah!
beki tatu huwa na ubuyu karibia wooote wa bosi wake.kidding.🙂🙂Inaonekana unamjua vema huyu Mama na familia yake mkuu...au na wewe ni wakishua! hahahah!
point 7 kama ni B+,B+,BMama Prof ndalichako ana mtoto mmoja tu wa kiume aliyefaulu vizuri A level kwa one ya point 7 na baadaye akaenda kusomesha first degree Canada na amerudi hapa bongo anapiga kazi bila msaada wowote wa mama yake..acheni uongo kuongea vitu ambavyo hamna uhakika navyo
mhh watu wengine bwanaInaonekana unamjua vema huyu Mama na familia yake mkuu...au na wewe ni wakishua! hahahah!
hahaha inawezekanabeki tatu huwa na ubuyu karibia wooote wa bosi wake.kidding.🙂🙂
Tena ninaimani na ccm kwa 100% na chadema 0%Bado una imani na ccm mkuu?
Bado una imani na ccm mkuu?
Wee una mzuka. Muulize shigongoTena ninaimani na ccm kwa 100% na chadema 0%
Ahaa!!!Sina imani nao, lakini ikitokea tume ya uchaguzi na polisi wakaendelea kuwabeba, bora huyu mama awe Rais
Eti utendaji wake ni mzuri, tokea awe waziri sijaona cha maana alichofanya, anazidi kuivuruga tu elimu yetu.
2015? mbona hujaeleweka na mwaka ulishapitaProf. Ndalichako anapiga kazi vizuri sana. Tafadhali Magufuli tupe Ndalichako 2015