Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Huko USA na demokrasia yao, zaidi ya miaka 200 ya uhuru wao leo ndio wanataka wamjaribu mwanamke.
Ni ngumu sana kuongelea mambo ya 2025 sasa kwani hata professor tibaijuka alianza hivi hivi
 
Kuna akina mama wengi wachapakazi, tatizo watanzania wengi mlilemazwa sana na serikali ya Kikwete ambayo watu bora walikuwa wakivutwa kola. Nakuhakikishia Ndalichako asingeonekana ni lolote kwa serikali ya Kikwete, kumbuka alivyojaribu kutaka kulinyoosha baraza la mitihani nini kilimtokea.
 
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
Marekani wana marais zaidi ya 40 bado hawajawahi kumwamini mwanamke itakuwa tanzania tena nchi ambayo haina dira ya dhati zaidi ya kwenye makaratasi.Unaota mchana kijana.
 
Ujue watu wenye mawazo afifu kama wewe mtoa post n mzigo kwa taifa uyo mama kafanya kipi cha ajabu mfumo wa elimu bado ovyo unaanza kutoa sifa za kinafiki 2025 urais wa wapi au kisa kuwafukuza hao wanafunzi wa dom
Yaani nimeshangaa sana maana hata mwaka hajamaliza unampa sifa za namna hii?Je,ikiwa ni nguvu ya soda?
 
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
SASA HUKU NI KUPIGA 'RAMLI'.....2025!!
 
Huyu Mama ananikosha sana kwa kweli, nampenda sana huyu mama, Mungu ambariki sana na amjaalie maisha marefu na mafanikio ya baadae...

Kwa type ya huyu mama kufanya kazi na JPM hujutii, hebu assume kama angekuwa waziri wa elimu Enzi za KIKWETE kama angekuwa hivi...
Ni kama sukari iliyomwagikia kwenye asali vile, safi kabisa.
 
Kwa lipi hasa? Watanzania mkisikia watu wanafukuzwa kwa idadi kubwa mnakua na mihemko ya ajabu.
Huyu mama sio mtu smart kiasi hicho, ni wa kawaida tu. Kusema ana~invalidate watu wote ambao wameshagraduate ati kwa kua hawakua na kigezo cha kuingia chuo fulani ni very stupid, the only reason ya kuinvalidate ambayo ningekubaliana nayo ni kama wangekua wamefoji vyeti, ila kama walitumia matokeo yao na bado wakachaguliwa there's absolutely no reason to invalidate them.

Huwezi ukatunga sheria leo ati kuvuta shisha ni kosa kisheria alafu ukamfunga mtu aliyevuta wiki iliyopita, sheria inaanza kutake effect leo, ndivyo dunia inavyokwenda miaka yote. So stupid.

Honestly watanzania nawaonea huruma, kila kitu kikifanyika cha kufukuzisha watu kwenu ni raha, sawa kuna sehemu nyingine wanapatia, ila sehemu nyingine wanakosea, hamna muda wa kureason nyie ni kushangilia tu, umaskini huu hautowaacha miaka nenda rudi, we'll see.
Well said.
 
Huyu Mama ananikosha sana kwa kweli, nampenda sana huyu mama, Mungu ambariki sana na amjaalie maisha marefu na mafanikio ya baadae...

Kwa type ya huyu mama kufanya kazi na JPM hujutii, hebu assume kama angekuwa waziri wa elimu Enzi za KIKWETE kama angekuwa hivi...
Kumbe hafanyi kutoka moyoni mwake bali anafanya kazi kwa hofu na pressure ya boss wake?
 
Huyu Mama ananikosha sana kwa kweli, nampenda sana huyu mama, Mungu ambariki sana na amjaalie maisha marefu na mafanikio ya baadae...

Kwa type ya huyu mama kufanya kazi na JPM hujutii, hebu assume kama angekuwa waziri wa elimu Enzi za KIKWETE kama angekuwa hivi...
Halafu km unampenda peleka barua kwao kama bado hajaolewa.
 
Kuna akina mama wengi wachapakazi, tatizo watanzania wengi mlilemazwa sana na serikali ya Kikwete ambayo watu bora walikuwa wakivutwa kola. Nakuhakikishia Ndalichako asingeonekana ni lolote kwa serikali ya Kikwete, kumbuka alivyojaribu kutaka kulinyoosha baraza la mitihani nini kilimtokea.
Kwahiyo anafanya kazi kwa pressure ya boss wake?
 
Ujue watu wenye mawazo afifu kama wewe mtoa post n mzigo kwa taifa uyo mama kafanya kipi cha ajabu mfumo wa elimu bado ovyo unaanza kutoa sifa za kinafiki 2025 urais wa wapi au kisa kuwafukuza hao wanafunzi wa dom
Kama huoni alichokifanya basi huna exposure. Fuatilia grading system in A and O level, quality ya vyuo vikuu including kuvifutia ithibati vyuo uchwara na kuvinyima udahili vyuo na program zenye matatizo. Haya mambo anayoyafanya tuliyalilia sana wakati wa JK lakini hayakufanyika kuna watu tuligoma, kufunga Barbara, tulifungwa mahabusu mpaka tulimwaga damu zetu Ili serikali ya JK ichukue hatua lakini hakuna kilichobadilika. Leo matunda yameonekana unabeza jitihada za Waziri, You are not serious....Walioko ndani ya system wanajua umuhimu wa alichokufanya Ndalichako. Kwenye ukweli tuseme bila kuogopa.. black hen lays white eggs
 
BADO MAPEMA NAONA WEWE UNATAKA KUMTOA KWENYE RELI ILI AFIKIRIE MENGINE,TUMWACHE AFANYE KAZI YAKE KWANZA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Kama huoni alichokifanya basi huna exposure. Fuatilia grading system in A and O level, quality ya vyuo vikuu including kuvifutia ithibati vyuo uchwara na kuvinyima udahili vyuo na program zenye matatizo. Haya mambo anayoyafanya tuliyalilia sana wakati wa JK lakini hayakufanyika kuna watu tuligoma, kufunga Barbara, tulifungwa mahabusu mpaka tulimwaga damu zetu Ili serikali ya JK ichukue hatua lakini hakuna kilichobadilika. Leo matunda yameonekana unabeza jitihada za Waziri, You are not serious....Walioko ndani ya system wanajua umuhimu wa alichokufanya Ndalichako. Kwenye ukweli tuseme bila kuogopa.. black hen lays white eggs
elimu aipande kwa kushusha au kupandisha viwango kuna mambo makubwa tunatakiwa kuyaona sio kubadilisha grade,
bado ni mapema sana wala elimu aijapanda
 
Back
Top Bottom