We nawe muda mwingine uwe unatumia akili sio kila saa kutumia ushabiki tu.Ameshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..
Kheee 🤣 🤣 imebidi nicheke...pole dawaWe nawe muda mwingine uwe unatumia akili sio kila saa kutumia ushabiki tu.
Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondokiAliposema 1979Magufuli jana mlimshambulia sana.
Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.
Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
Ameshanusa harufu ya kipigo cha mbwa koko msimu ujaoo..akaona ya nini mie roho yanguuu...bora nisepe..huu ndo mwaka wa mwisho wa gongowazi kuchukua kikombe..
Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.Diara ,job na mayele bado wanamkataba hawaondoki
Nonda , msuva nk waliondoka na wakavuma sana kwahio ata Nabi anaweza kufanikiwa ni kocha mzuri
Dalili za uchawi ni nyingi, ila hii uliyonayo mleta uzi dio DALILI KUUHuu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Tumuombee heri katufanyia makubwa. Binafsi Kaizer ntaichukulia kama Yanga B hivyo ntaisapoti kwa ajili ya Nabi.Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi
Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia
Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi
NB: Time will Tell
View attachment 2658545
Ukishakua shabiki wa kolo automatically unakua huna akiliWe nawe muda mwingine uwe unatumia akili sio kila saa kutumia ushabiki tu.
Mayele anacheza Kwa mkopo????Wacongo wengi unaowaona wanacheza hapa ni wa mkopo. Mayele akitaka kuondoka, Yanga haitaambulia hata senti. Nonda alipoondoka, Yanga haikupata kitu.
Hao kina Job na Diarra hata kama wana mkataba, wanaweza vunja kama alivyofanya Nabi (au mfano mwingine mbaya Feisal). GSM hawezi kukataa ofa nzuri, wakereketwa mtapigwa tu sound ila biashara itafanyika.