Prof Nabi atapoteana pale Afika Kusini

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,212
Huu ndio unaenda kuwa mwisho wa prof Nabi

Ligue ya bongo haijawahi kumuacha salama mwanamichezo yeyote ambaye Baada ya kupata umaarufu na kukimbia

Ligue ya bongo inajua ku brand,, kukumpa umaarufu mtu yeyote kiasi Kwamba anajaa then baadae atapotea ..,huu ulikuwa ni muda wa Nabi kuendelea kuikuza CV yake akiwa Kwa wananchi

NB: Time will Tell

1686583809822.jpg
 
Jana 1979Magufuli alipoyasema haya mlimshambulia sana.

Yanga hamna utamaduni wa kuacha watu waondoke wakati bado mnawahitaji. Tuliwaambia hivyo kwa Feisal, mkabisha kwamba hajafuata taratibu. Nabi kaondoka, mnalia huku mitandaoni kama vile kafa hadi mnamnenea mabaya na kudhihirisha wenyewe ule ukubwa mliokuwa mnampa kumbe haukuwa na uhalisia.

Bado Diarra, Mayele na Dickson Job.
 
Ligi ya SA ni ya kawaida sana Wala haitamsumbua tena atafanikiwa sana kimsingi naona ameondoka wakati sahihi kabisa

Makocha wetu wanaopata nafasi ya kufundisha team kubwa wajifunze kufanya vizuri wanapopewa hizi team ili wafike mbali wasiwe kama Ajib

Wapunguze kuuza mechi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom