Njaa kitu mbaya sana!Ni vema wajitokeze wengi ili tuweze kuwachuja vizuri hatimaye kupata rais bora mmoja anayetakiwa na watanzania.
Ni vema wajitokeze wengi ili tuweze kuwachuja vizuri hatimaye kupata rais bora mmoja anayetakiwa na watanzania.
Walizusha Lowassa ni fisadi wakashindwa. Wakaja na Angenda mpya Lowassa ni mgonjwa wakashindwa. Hakuna aliyewahi kusikika akitaja mwandosya ni mgonjwa humu jamvini.
Lowassa ni zaidi ya mmjuavyo, ni zaidi ya mnavyo muona. Yeye yupo na leo nawaeleza kuwa ametumwa na Mungu kuja kuliokoa hili taifa. Ndiyo maana baada ya genge la watu fulani la wasaka madaraka kushindwa wananza kusema oh sijui kakutana Nchimbi, Oh sijui kakodi ndege kaenda kanda ya ziwa amerudi akiwa amechoka.
Afya ya Lowassa ni imara kweli. Yeye yuko kimya wamemtukana matusi yamewakauka vinywani mwenu hajasema chochote kwa sababu ana busara za kutosha alizopewa na mwenyezi Mungu.
Hajatangaza nia kama hao wengine. Nahisi siku atakapotamka wale mnaompinga hapa watachanganyikiwa.
Lowassa ukimya wako ni busara. Wanapokuombea mabaya kila siku ndiyo Mungu anatoa ufunuo dhidi za kuashinda hao. Mema uliyoyatenda Tanzania tunayaona. Wakumbuke kuwa kiongozi asiyependa lawama kamwe siyo kiongozi. Endelea kunyamaza ili wao waendelee kutunga uongo siku zote. Lakini wakae wakijua kuwa uhai wa binadamu uko mikononi mwa Mungu.
Kamuua nani? Huko kumzushia ndivyo mnazidi kumpandisha. Yupo sawa kabisa kiafya hayo mgonjwa yatawarudia wenyewe. Time will tell
That is according to you! And I think some day you will see the other side of him and find that he is the only President material that you and Tanzania need! Just give it more time. Utasimama tu UhesabiweYes, time will tell but one thing is certain - he will never be the president of Tanzania or Tanganyika for that matter! You can take that to the bank.
That is according to you! And I think some day you will see the other side of him and find that he is the only President material that you and Tanzania need! Just give it more time. Utasimama tu Uhesabiwe
Only time will tell. We can only pray that Tanzania does not go to the "dogs"
A good leader does not seek leadership at any cost. Kuna watu wamefika mahali wanaona kupta Urais ni haki yao na wengine hawana haki. Why not stay aside to enjoy the loot!
Do you know the meaning of looting? There is no doubt that you are among the most frustrated group politically.
Mwandosyaaaaaaaa!
walizusha lowassa ni fisadi wakashindwa. Wakaja na angenda mpya lowassa ni mgonjwa wakashindwa. Hakuna aliyewahi kusikika akitaja mwandosya ni mgonjwa humu jamvini.
Lowassa ni zaidi ya mmjuavyo, ni zaidi ya mnavyo muona. Yeye yupo na leo nawaeleza kuwa ametumwa na mungu kuja kuliokoa hili taifa. Ndiyo maana baada ya genge la watu fulani la wasaka madaraka kushindwa wananza kusema oh sijui kakutana nchimbi, oh sijui kakodi ndege kaenda kanda ya ziwa amerudi akiwa amechoka.
Afya ya lowassa ni imara kweli. Yeye yuko kimya wamemtukana matusi yamewakauka vinywani mwenu hajasema chochote kwa sababu ana busara za kutosha alizopewa na mwenyezi mungu.
Hajatangaza nia kama hao wengine. Nahisi siku atakapotamka wale mnaompinga hapa watachanganyikiwa.
Lowassa ukimya wako ni busara. Wanapokuombea mabaya kila siku ndiyo mungu anatoa ufunuo dhidi za kuashinda hao. Mema uliyoyatenda tanzania tunayaona. Wakumbuke kuwa kiongozi asiyependa lawama kamwe siyo kiongozi. Endelea kunyamaza ili wao waendelee kutunga uongo siku zote. Lakini wakae wakijua kuwa uhai wa binadamu uko mikononi mwa mungu.