Ndiye aliyekorofisha TCRA na kuweka mtu kutoka malawi kwa sababu tu nyumba ndogo imenyimwa ticket.
Wagombea wote wa Uraisi kabla ya mchujo wowote wa kichama kila moja apimwe afya na kuwa na cheti cha uthibitisho kuhusu hali ya afya yake k.m. ukimwi, kisukari,kiwango cha ukichaa,usahaulifu, magonjwa ya moyo, n.k. Sii vyema kuwa na Raisi ambaye muda mwingi anautumia kwa matibabu. Tupate Raisi mwenye afya njema na kama ataanza kuugua akiwa tayari amechaguliwa hilo ni shauri jingine, tutamvumilia aendelee. Lakini kuchagua Raisi ambae tayaari ana mgogoro wa afya ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
Prof. Mark Mwandosya mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na wizara maalum amesema kuwa hatogombea tena ubunge bali urais. Ni mwendelezo wa wimbi la watangaza nia linaloshika kasi.
Source : Mtanzania gazeti la leo.
Mzee kwa nini ukimwi usiseme afya kwa ujumla. Huu ni ubaguzi!Kupunguza hii long list wangeweka kigezo cha kupima ukimwi hawa wagombea ..nina imani tutapata watu wachache sana
Mzee kwa nini ukimwi usiseme afya kwa ujumla. Huu ni ubaguzi!
Afya yake hairuhusu. Apumzike.
Iwe mandatory kwa wale wote wanaotaka kugombea kiti cha URAIS wapimwe afya zao; hilo hufanyika nchi nyingi na hufanywa na jopo la madaktari wenye maadili ya kizalendo. Hili in fact linatakiwa liingizwe kwenye katiba ya nchi kuhusu afya za wagombea wa nafasi za uongozi wa nchi. CCM kwavile viongozi wao wengi ni wagonjwa watalipinga hili kufa na kupona lakini hawatakuwa wanaitendea haki nchi!!
Kupunguza hii long list wangeweka kigezo cha kupima ukimwi hawa wagombea ..nina imani tutapata watu wachache sana
Kwangu ukimwi ingekuwa factor nzuri zaidi ya ku shortlist hawa wagombea
labda awe raisi wa apolo india lkn siyo wa nchi yangu!
Afya yake hairuhusu. Apumzike.
Hta angegombea asingepataProf. Mark Mwandosya mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na wizara maalum amesema kuwa hatogombea tena ubunge bali urais. Ni mwendelezo wa wimbi la watangaza nia linaloshika kasi.
Source : Mtanzania gazeti la leo.