Walizusha Lowassa ni fisadi wakashindwa. Wakaja na Angenda mpya Lowassa ni mgonjwa wakashindwa. Hakuna aliyewahi kusikika akitaja mwandosya ni mgonjwa humu jamvini.
Lowassa ni zaidi ya mmjuavyo, ni zaidi ya mnavyo muona. Yeye yupo na leo nawaeleza kuwa ametumwa na Mungu kuja kuliokoa hili taifa. Ndiyo maana baada ya genge la watu fulani la wasaka madaraka kushindwa wananza kusema oh sijui kakutana Nchimbi, Oh sijui kakodi ndege kaenda kanda ya ziwa amerudi akiwa amechoka.
Afya ya Lowassa ni imara kweli. Yeye yuko kimya wamemtukana matusi yamewakauka vinywani mwenu hajasema chochote kwa sababu ana busara za kutosha alizopewa na mwenyezi Mungu.
Hajatangaza nia kama hao wengine. Nahisi siku atakapotamka wale mnaompinga hapa watachanganyikiwa.
Lowassa ukimya wako ni busara. Wanapokuombea mabaya kila siku ndiyo Mungu anatoa ufunuo kama lowasa akiwa rais tutaongozwa na makamu kama yale ya OMAR YARADOUA NA GUDLUK JONATHAN hivo nyie wapiga debe mchague mgombea mwenza awe mzul