Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

Hivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunajua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna

Kwa hiyo kule cerebrity forum tuanze kujadili mbwa..??
 
Kwani mshindani ni EL tu, subiri kipenga uwone hali ya hewa itakavyobadilika
Mojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?
 
Wewe unaesema nyota yake imeanza kung'aa umetumia njia gani kujua nyota alompa Mungu ndio imeanza kuwa hivyo kwenye mbio za urais.

Je unajua mwaka 2005 alishika nafasi ya ngapi kuwania kiti hicho ndani ya ccm?
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

Hatutaki vijana. Tunataka wazee wenye uwezo ili wakistaafu wasiendelee kuishi miaka mingi sana na kutusababishia hasara ya kuwatunza kwa muda mrefu.
Kijana wa miaka 40 anataka atutumikie kwa miaka 10 tu halafu taifa limtumikie yeye kwa miaka zaidi ya 30 mpaka 40 . Kuna siku tutakuwa na marais wastaafu zaidi ya 10 .Mfano ikitokea wakifululiza marais vijana 7 itabidi tutumie bajeti ya wizara nzima kuwahudumia kwa mwaka.Rais akiwa na miaka 40 ni kweli kuwa first Lady atakua hazidi miaka 32.Kituko kabisa ukitegemea na mila zetu za kiafrika heshima inatokana na umri wa mtu.Tutashuhudia vituko vya kuanzia kwenye ndoa mpaka ikulu.
 
Hivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunajua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna
Unapo mjadili Lowassa mbona unakuwa na akili hiyo hiyo ya chicken party?
Nyambafff kabisa
 
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.

hapana wewe nani swain mkubwa wewe. Kwani boss wako anaacha jimbo?
 
Acheni ushamba rais WA 2015 watanzania wote 2namjua tunasubiri siku ya kuapishwa 2.Tuanze kumtafuta na kumuaandaa wa2025.
 
Mojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?

Lowassa anagombea Uaskofu Mkuu wa Tanzania na u Sheikh mkuu wa Tanzania. Hajitambui Nataka nini.
Urais wa Tanzania haupati hata kwa dawa
 
Back
Top Bottom