VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Utamaliza lini kumshangaa ili na mimi nianze kumshangaa??!!Haaahaa! Jamaa nampenda kwa kujipenda na kufanya mazoezi karibu kila asubuhi....ila mambo mengine namshangaa sana. Toka akiwa REDET mpaka leo hii namshangaa sana huyu bwana mkubwa,lol!
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi udsm jinsi wanavyolalamika na ukwasi uliopo hapo udsm kiasi kwamba wanafikiria kuacha kazi. Ukiangalia story nzima wanamlalamikia huyo jamaa, na kama ndio anafanya ufisadi wa namna hiyo basi hafai kuwepo hapo ili kukinusuru hicho chuo. mbona wakati wa luhanga mambo yalikuwa mazuri!!!.
Hii tabia ilianza kimya kimya kwa mawaziri sasa inasambaa kwa watumishi wengine. Hakuna magari Iringa? Chuo cha Mkwawa hawawezi kumtembeza huyu Mukandala kwa muda mfupi aliokuwa hapo Iringa? Kwa nchi maskini kama hii inakuwaje mkuu wa chuo (mkuu wa chuo!) asafiri kwa ndege huku gari lijazwe mafuta na kumfuata Iringa kwa safari za hapo mtaani Iringa? Kweli Mukandara anaweza kusimama mbele za watu na kuhubiri utawala bora?
Huyu Mukandala siyo hilo tu, anaishi kwenye nyumba yake Makongo, lakini kwa tamaa zake bado amechukuwa nyumba za lecturers hapo chuo kikuu? Sijui inakuwaje anakaa kwenye nyumba mbili kwa wakati mmoja? Au anatumia kwa shughuli 'maalum?'. Sijui ni kitu gani waliangalia na kumfanya huyu Prof awe mkuu wa chuo? Anakiuwa kabisa.